Utengenezaji wa movie umerahisishwa sana na hii iphone 13

technology ya kukimbizana na masimu ni upumbavu.....As a real man jinunulie kismartphone chako cha kueleweka ambacho toleo lake angalau ni indate then endelea na majukum mengine.

Habar za kukimbizana na matoleo mapya kila siku ni utoto na kukosa majukum....haya mambo waachieni wauza sura huko insta&tiktok, humu ni kazi kazi tuu wajombaa
Well said
 
Nimesahau jina. Kwa hiyo mkuu unasema hii feature ya cinematic wanayotangaza kuiweka si kitu?
Ni kitu mkuu, kuna watu hata ku edit video hawajui, hivyo kwa average user ana upload video facebook ama insta kwake ina faida (na ndio soko wanalotarget wao)

Ila kwa proffesional movie maker Hapana, wanatumia camera ambazo ni natural kabisa. Kama kuna edit itafanywa baadae.

Kama una edit picha ama video utaona kuanzia monitor mpaka source ya material ni lazima zioneshe natural color kabisa, simu zinakuwa na post process ya software sijui kuifanya ngozi iwe soft, ku sharpen picha na vionjo vyengine kutufanya tuwe wazuri, proffesional hawahitaji hizi effects, wakitaka wanazi weka wenyewe baadae
 
Kuna movie amecheza Cherize Theron. Imetengenezwa na iphone.

Hizi huwa si kweli. Kama sikosei Huawei waliwahi kushitakiwa kwa kutoa Movie clip ana kusema imerekodiwa na camera ya HUWEI flagship wakati walitumia Professional camera.

Hawa watu wanatudanganya, hata lile tangazo la iPhone 13 limetengenezwa kwa kutumia professional cameras kina Canon,Leica, Alexa,Sony
 
utengenezaji wa Movie ?

Yaani shooting badala ya Camera au Editing badala ya Computers / Supercomputers ?

Inategemea na scenes na graphics unazotumia, unazotaka kutumia Kama unatumia Graphics za kutumia michoro na vitu ambavyo sio halisi kuvifanya viwe realistic hata the most powerful pcs / macs n.k. unaweza ukakuta kazi ya dakika tano inafanya rendering kwa masaa 12...

Anyway movie inavitu vingi sana editing / acting n.k...., kuna movies za zamani ambazo zilikuwa big budget huenda camera zake hazikuwa na uwezo kama cameras za sasa..., all in all vifaa katika movie (unless ni Computer Generated Images) ni secondary..., ndio maana kuna movies zilikuwa black and white na hazina sound (Charlie Chaplin) na bado zilikuwa bora...
 
Ni kitu mkuu, kuna watu hata ku edit video hawajui, hivyo kwa average user ana upload video facebook ama insta kwake ina faida (na ndio soko wanalotarget wao)

Ila kwa proffesional movie maker Hapana, wanatumia camera ambazo ni natural kabisa. Kama kuna edit itafanywa baadae.

Kama una edit picha ama video utaona kuanzia monitor mpaka source ya material ni lazima zioneshe natural color kabisa, simu zinakuwa na post process ya software sijui kuifanya ngozi iwe soft, ku sharpen picha na vionjo vyengine kutufanya tuwe wazuri, proffesional hawahitaji hizi effects, wakitaka wanazi weka wenyewe baadae
yaan naskip comments nisome za chief tu, huyu mwamba nshamwambia hilo tangu comment yangu ya kwanza kuwa hizo movie wanamaanisha kwa hawa socialites tu. Movie yenye quality kabisa ya kusambazwa kwa njia zote na kuonekana mahali pote huwezi shoot kwa iPhone
 
Hiyo Tangerine ilisambazwa sana na ilifanya poa tu kwenye box office. Movie nyingi serious unaweza tengeneza kwa iphone na zikatoka na quality ukashindwa kutofautisha na hizi traditional movies.
 
Hiyo Tangerine ilisambazwa sana na ilifanya poa tu kwenye box office. Movie nyingi serious unaweza tengeneza kwa iphone na zikatoka na quality ukashindwa kutofautisha na hizi traditional movies.

Kamera yoyote unaweza kushoot movie
Lakini profesheno kamera za movie zipo na bei yake ni mara elfu kadhaa ya iphone

Movie nyingi za afrika kama bongo muvi wanafeli kwenye kamera bora sababu ya bei yake mkasi
Hata siku mmoja kamera ya simu haiwezi kuwa mbadala wa kamera ya kushoot movie labda kwenye kesi maalumu

Nimewahi kuangalia movie mmoja imeshutiwa na iphone ilifanya poa lakini haikua na ubora
 
Mkuu hivi Camscanner inafanya hiyo OCR? au ni app gani ya android ambayo ni the best katika kufanya hiyo OCR?
Camscanner inafanya ndio, na karibia big players wote wana hizi app, seems zinalipa sana kukusanya data. Kuna Adobe scan, msft office/onenote, Google doc/keep etc.
 
Back
Top Bottom