usijifiche kwenye kichaka cha kueleweka kwa mada, mashabiki wa tff akili zenu mnazijua wenyewe 🚮Kama hujaelewa mada unaweza kuomba ukaeleweshwa kwa hekima
wamefunga mwezi mtukufu, ngoja mwezi uuishe kwanzaKwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion!
Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji.. Kuteka watu mitaani..
Kuna walionusurika kutekwa
Kuna waliotekwa kisha wakapatikana wakiwa hai wazima wa afya lakini taswira zao zikionesha hofu
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa hai lakini katika hali mbaya sana kiafya kutokana na majeraha ya mateso na vipigo
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa marehemu na miili yao ikionesha dakika zao za mwisho walizimalizaje
Kuna waliotekwa na baada ya kelele nyingi wakapatikana vituo vya police
Kuna waliotekwa na hawajawahi kuonekana popote na ndugu hawajui waweke msiba au waanue tanga!
Kwenye kilele cha utekaji likaibuka kundi la TFF na kupiga mkwara mzito kuhusu watekaji na utekaji..
Baada ya mkwara huo ni kama kumepoa kidogo ama ndio wameenda halftime?
Hii bila shaka ni mbinu ya kuwasahaulisha wananchi waamini hali ni shwari ghafla wanaanza tena utekaji. Lakini tangu walipowaua raia siku ya MO29 naona kama hamu yao ya kuteka imepungua kidogo. Anyway, ngoja tuone. Hawa jamaa sio wa kuwaamini hata kidogo.Kwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion!
Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji.. Kuteka watu mitaani..
Kuna walionusurika kutekwa
Kuna waliotekwa kisha wakapatikana wakiwa hai wazima wa afya lakini taswira zao zikionesha hofu
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa hai lakini katika hali mbaya sana kiafya kutokana na majeraha ya mateso na vipigo
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa marehemu na miili yao ikionesha dakika zao za mwisho walizimalizaje
Kuna waliotekwa na baada ya kelele nyingi wakapatikana vituo vya police
Kuna waliotekwa na hawajawahi kuonekana popote na ndugu hawajui waweke msiba au waanue tanga!
Kwenye kilele cha utekaji likaibuka kundi la TFF na kupiga mkwara mzito kuhusu watekaji na utekaji..
Baada ya mkwara huo ni kama kumepoa kidogo ama ndio wameenda halftime?
Sidhani nadhani UTEKAJI SASA BASIHii bila shaka ni mbinu ya kuwasahaulisha wananchi waamini hali ni shwari ghafla wanaanza tena utekaji. Lakini tangu walipowaua raia siku ya MO29 naona kama hamu yao ya kuteka imepungua kidogo. Anyway, ngoja tuone. Hawa jamaa sio wa kuwaamini hata kidogo.
HakikaWenyewe wapo mwezi wa mapumziko ya kutenda maovu!!
WamefungaKwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion!
Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji.. Kuteka watu mitaani..
Kuna walionusurika kutekwa
Kuna waliotekwa kisha wakapatikana wakiwa hai wazima wa afya lakini taswira zao zikionesha hofu
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa hai lakini katika hali mbaya sana kiafya kutokana na majeraha ya mateso na vipigo
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa marehemu na miili yao ikionesha dakika zao za mwisho walizimalizaje
Kuna waliotekwa na baada ya kelele nyingi wakapatikana vituo vya police
Kuna waliotekwa na hawajawahi kuonekana popote na ndugu hawajui waweke msiba au waanue tanga!
Kwenye kilele cha utekaji likaibuka kundi la TFF na kupiga mkwara mzito kuhusu watekaji na utekaji..
Baada ya mkwara huo ni kama kumepoa kidogo ama ndio wameenda halftime?
WamefungaKwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion!
Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji.. Kuteka watu mitaani..
Kuna walionusurika kutekwa
Kuna waliotekwa kisha wakapatikana wakiwa hai wazima wa afya lakini taswira zao zikionesha hofu
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa hai lakini katika hali mbaya sana kiafya kutokana na majeraha ya mateso na vipigo
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa marehemu na miili yao ikionesha dakika zao za mwisho walizimalizaje
Kuna waliotekwa na baada ya kelele nyingi wakapatikana vituo vya police
Kuna waliotekwa na hawajawahi kuonekana popote na ndugu hawajui waweke msiba au waanue tanga!
Kwenye kilele cha utekaji likaibuka kundi la TFF na kupiga mkwara mzito kuhusu watekaji na utekaji..
Baada ya mkwara huo ni kama kumepoa kidogo ama ndio wameenda halftime?
Na Leo walikuwa ubalozi wa Iran wanafuturuWajinga wanashinda njaa tu hao