Utekaji Tanganyika! Kumepoa kidogo au!?

Utekaji Tanganyika! Kumepoa kidogo au!?

Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti.

Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni.

Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo mtamsaahau mwenzenu.
 
Kwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion!

Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji.. Kuteka watu mitaani..

Kuna walionusurika kutekwa
Kuna waliotekwa kisha wakapatikana wakiwa hai wazima wa afya lakini taswira zao zikionesha hofu

Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa hai lakini katika hali mbaya sana kiafya kutokana na majeraha ya mateso na vipigo
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa marehemu na miili yao ikionesha dakika zao za mwisho walizimalizaje

Kuna waliotekwa na baada ya kelele nyingi wakapatikana vituo vya police

Kuna waliotekwa na hawajawahi kuonekana popote na ndugu hawajui waweke msiba au waanue tanga!

Kwenye kilele cha utekaji likaibuka kundi la TFF na kupiga mkwara mzito kuhusu watekaji na utekaji..

Baada ya mkwara huo ni kama kumepoa kidogo ama ndio wameenda halftime?
Labda wapo kimataifa zaidi maana majuzi wamedakwa kenya
 
Au tulipisha mfungo?
IMG-20260320-WA0001.jpg
 
Mbezi muda huu vibaka walipaki Gari yao hapo tangu Asubuhi, Kumbe walikuwa wanamvizia Agent wa gari ya makuti.

Kabla hawajatokomea nae wananchi walizunguka gari watekaji wakazuga wanamuweka kituoni.

Wamemhifadhi kituo cha Magufuli wafanyakazi wa stendi nendeni hapo kituoni vingenevyo mtamsaahau mwenzenu.
Mambo ni mengi
 
Back
Top Bottom