Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 359,869
- 828,401
Kwa kipindi kisichopungua miaka ishu na habari za utekaji zilianza kuoezwa kwenye masikio yetu.. Utekaji ukawa kama fashion!
Ilikuwa haipiti siku mbili bila kusoma habari na matukio ya utekaji.. Kuteka watu mitaani..
Kuna walionusurika kutekwa
Kuna waliotekwa kisha wakapatikana wakiwa hai wazima wa afya lakini taswira zao zikionesha hofu
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa hai lakini katika hali mbaya sana kiafya kutokana na majeraha ya mateso na vipigo
Kuna waliotekwa na kupatikana wakiwa marehemu na miili yao ikionesha dakika zao za mwisho walizimalizaje
Kuna waliotekwa na baada ya kelele nyingi wakapatikana vituo vya police
Kuna waliotekwa na hawajawahi kuonekana popote na ndugu hawajui waweke msiba au waanue tanga!
Kwenye kilele cha utekaji likaibuka kundi la TFF na kupiga mkwara mzito kuhusu watekaji na utekaji..
Baada ya mkwara huo ni kama kumepoa kidogo ama ndio wameenda halftime?