Utawezaje kuacha kupiga punyeto?

Utawezaje kuacha kupiga punyeto?

Kiimani ni dhambi hata quraan imeandika "ole wake mwanaume aufanyaye mkono wake kuwa uke". kwa biblia cjui imeandikwaje ila ni dhambi as unazini. Kitaalam (afya) tabia hii ukiizoea ina kujakupunguza ladha ya utamu wa tendo la ndoa, yaani utakuwa ukilalal na mwanamke hutakaa uone utamu wake as umeshazoea kufanya hivi, haitapendeza umeoa mke unalala nae huridhiki utajarib mwingine, tatizo pale pale na mwingine na mwingine kumbe tatizo ni wewe.
na kwa mada yako hapo juu huyu tatizo lishamkumba amesema "hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke". akioa itakuwa tabu atakua MALAYA as mkewe hatamtosha.
Mbinu yakuacha ni kujikeep bize na kazi au shule na kusogea karib na Mungu ili aache nakutubu
Natumai nimejibu nakukusaidia kama Great thinker

Haipunguzi raha ya tendo la ndoa, hii kitu raha yake ni tofauti.

Halafu hebu niambie ipi dhambi, ufanye na mwanamke au upige puli usipate ukimwi...
 
naunga mkono hoja mia kwa mia, dah puli tamu sana sana yani mi nikiwa kitanda cha ugenini nateseka sana sipati uhuru wa kupiga puli, ikipita siku 2 sjapiga puli najiskia ovyoo. Nimeanza poli 1997 hadi hivi leo napiga puli,. Nimegundua style mpya sasa ya puli

kaka Style gani hiyo.!
 
ukikitizama kitu in a negative way kinakuwa kubaya,and vice versa is true. we chukulia kupiga puri ni jambo positive,mwache jamaa asonge mbele.....its safe...haina kuambukizwa virus!wakati wake ukifika ataacha....mimi nilikuwa bingwa wa afrika mashariki wa mambo hayo na nishaacha!teh teh teh!nilichukua ubingwa ktk mashindano yalifanyika kenya,mnataka niwahadithie jinsi nilivyobeba taji?

We Jamaa ni Nuksi..!!
 
Kwanza pole,maana najua ni wewe usilete visingizio hapa,Hebu jaribu kujifanyia tathmini kwenye dushelele yako je haijachubuka hata kidogo? Hakika japo puli ni tamu ila ni rahisi sana kupata maambukizo ya ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa kupitia hiyo michubuko kwa wale wa pekupeku,jaribu kupunguza na hata kuacha kabisa

unapataje Ngoma wakati unapiga punyeto! ni sawa na kumkamua muathirika ndotoni tu!It is not real!Hata ukitoka vidonda you are alone and u dont need a condom 4get even testing HIV!Its the world of freedom u and ur finger!Unless unapiga puli huku unataka kumkamua demu hata hamjapima afya then hatari ni kubwa!
 
naunga mkono hoja mia kwa mia, dah puli tamu sana sana yani mi nikiwa kitanda cha ugenini nateseka sana sipati uhuru wa kupiga puli, ikipita siku 2 sjapiga puli najiskia ovyoo. Nimeanza poli 1997 hadi hivi leo napiga puli,. Nimegundua style mpya sasa ya puli

Nilianza 1988 na ninaendelea kwa bidii zaidi.Hakuna noma wala nini! Staili yangu sasa ni kufanya kwa miguu upo!
 
Halafu utafiti uliothibitishwa unasema, kama mwanaume anafikisha miaka ishirini na tano hajafanya hii mambo, mara nyingi huishia kuwa bwabwa. Well come to the game.
 
Halafu utafiti uliothibitishwa unasema, kama mwanaume anafikisha miaka ishirini na tano hajafanya hii mambo, mara nyingi huishia kuwa bwabwa. Well come to the game.

Mimi pia nilishaisoma hii sehemu, tuache myths jamani hii kitu inajenga heshima! Huogopi shikamoo, huna haja ya kwenda na simu bafuni, mke wako akijifungua unakuwa karibu naye sana( hakuna haja ya kuwinda vicheche).....
 
Mimi pia nilishaisoma hii sehemu, tuache myths jamani hii kitu inajenga heshima! Huogopi shikamoo, huna haja ya kwenda na simu bafuni, mke wako akijifungua unakuwa karibu naye sana( hakuna haja ya kuwinda vicheche).....
Hahahahaah! Wazee wa puchu kwa kujipa matumaini...!
 
Pale unapokamatwa na mpenzi wako usiku wa manane, ukiwa unapiga punyeto.yeye kalala pembeni yako badala ya kumuamsha, umeamua kujihudumia.Hivi utajiteteaje?
Tuachen masikhara hakuna mwanaume asiyeijua punyeto, mimi mwenyewe enzi zangu boarding kila ijumaa nilikuwa lazima nipashe kidogo kupunguza mafuta mwilini,, na hata sasa nikimmiss swthrt kama yupo mbali napasha kimoja nalala nasahau kabisa videm vya nje
 
nyeto inapigwa kwenye shule za boys....nakumbuka nilipokua songea boyz kuna jibaba mmoja toka pande za sumbawanga.... Mr Msakanyoka alikua anapiga bwenini mbele ya washikaji then zile mbegu anaweka kiganjani mwake...jamaa alikua anapiga hata bao nne kwa nyeto. kiukweli haina madhara.....labda kisaikolojia kwa mbaaaaaaaali
 
Back
Top Bottom