Utawezaje kuacha kupiga punyeto?

Utawezaje kuacha kupiga punyeto?

Nakushauri uache mara moja ndugu yangu...nina mfano hai, leo unapata raha kesho nguvu zitakuishia wanawake wote utakuja waona kama dada zako...hisia zitatoweka kwa kuishiwa nguvu...nyeto haifai
 
..jitahidi,ukidhamiria utaacha kijana,hii mambo sio nzuri
 
naunga mkono hoja mia kwa mia, dah puli tamu sana sana yani mi nikiwa kitanda cha ugenini nateseka sana sipati uhuru wa kupiga puli, ikipita siku 2 sjapiga puli najiskia ovyoo. Nimeanza poli 1997 hadi hivi leo napiga puli,. Nimegundua style mpya sasa ya puli

Tupe mau janja eeeh...hiyo $tyle mpya ikoje?...funguka jombaaa.!
 
Punyeto ni addiction tu kama ilivyo uvutaji sigara au unywaji pombe.

Ukitaka kuacha ni kuweka tu dhamiri kuwa hii kitu mimi basi!!!
 
kama vipi kasome shule za mchnganyiko

kama
naunga mkono hoja mia kwa mia, dah puli tamu sana sana yani mi nikiwa kitanda cha ugenini nateseka sana sipati uhuru wa kupiga puli, ikipita siku 2 sjapiga puli najiskia ovyoo. Nimeanza poli 1997 hadi hivi leo napiga puli,. Nimegundua style mpya sasa ya puli

ka
 
ukikitizama kitu in a negative way kinakuwa kubaya,and vice versa is true. we chukulia kupiga puri ni jambo positive,mwache jamaa asonge mbele.....its safe...haina kuambukizwa virus!wakati wake ukifika ataacha....mimi nilikuwa bingwa wa afrika mashariki wa mambo hayo na nishaacha!teh teh teh!nilichukua ubingwa ktk mashindano yalifanyika kenya,mnataka niwahadithie jinsi nilivyobeba taji?
uyo jamaa tusimlaumu tusije kumlaumu hata mimi iyo kiti nimeshindwa kujizuia na nina mke na miaka yangu 30 sasa na mke ananipa wakati wowote ule kwa hiyo ni katabia tu kukiwacha inakua tabu .
 
Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje.

Akianza kupigwa dole ataacha
 
Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje.

jaribu kukaa siku bila kufikiri kupiga nyeto, na hilo wazo likikujia tu jaribu kusoma gazeti au lima kibustani hivi pembeni ya unako kaa. Nikuulize, unapofanya ngono unajisikiaje? Kama unaona mkono ni bora zaidi ya tendo lenyewe la ndoa basi una hitilafu kichwani. Kuacha kwake jaribu kujipaka ----- mikononi ama gundi/ulimbo ili akili yako ijuwe kuwa umevaa zana na dushelele lisimame kila dakika. Ukifanya hivi utaishi maisha marefu zaidi, kwani kupiga nyeto tu kila dakika tano unajipunguzia maisha na ukiendekeza zaidi utakuja pigwa na shoti ya umeme bafuni.
 
Back
Top Bottom