Utawezaje kuacha kupiga punyeto?

Utawezaje kuacha kupiga punyeto?

Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje.
hii sio facebook, lugha mbovu hazivumiliwi humu vinginevyo andika kiswahili fasaha, maana wengine wanaweza kuwa na msaada lakini kutokuelewa ulichoandika unaweza usisaidiwe
 
Ha haaaa. Mkuu huyo jamaa yako ni domo zege hana lolote

Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi imebainika wanaume wengi wanaopiga zaidi nyeto na kuathirika na tendo hilo ni wale madomo zege

Huyo dawa yake ni kumtafutia demu tu alafu demu apewe z
A to Z kisha jamaa aanze kupewa mambo adimu .......... Ataacha mwenyewe

huo utafiti hauna mantiki kabisa, kama ungejua wanaopiga puli wana mademu zaidi ya mmoja, believe me. na raha ya puli ni tofauti kabisa na mechi ya wawili,,,,
 
naunga mkono hoja mia kwa mia, dah puli tamu sana sana yani mi nikiwa kitanda cha ugenini nateseka sana sipati uhuru wa kupiga puli, ikipita siku 2 sjapiga puli najiskia ovyoo. Nimeanza poli 1997 hadi hivi leo napiga puli,. Nimegundua style mpya sasa ya puli

Aisee hata mimi puli siwezi kuacha labda nipungiuze siku na idadi za puli, lakini kuacha haiwezekani.
 
Wanaume wengi huu mchezo ushatushinda kuacha hata tuliooa kuna kipindi unajiserve wakati mkeo yupo kitandani!Punyeto mchezo?Unakamua demu unaemtak mahali popote,muda wowote na kwa style yoyote!Ukiwa unapiga puli hata mkeo hakutawali!akikuzingua unajikunja unatoa lenye kiherehere unarudi kwenye msimamo wako wa kama alikuwa anataka kukukshinikiza jambo!
 
haya tunawatakia puli njema maana inaonekana mnafagilia sana
 
Duh kila ninapotupia post lazima nibandikwe hili swali...........
Nipo kwenye mchakato
ukikamilika nitarudi kwa mlishonyuma wandugu

kwasasa tumsaidie huyu muheshimiwa

maana yake tunakupenda na kukujali ndugu japo hatujuani nje ya hapa!jisikie mwenye bahati badala ya kuona ni kama kimeo,tunasubiria feedback kiongozi lakini lile la kudanganya majina yako lifanyie kazi asap!rudi ktk majina yako halisi
 
ponyeto ni mbaya kiafya...madaktari wameprove hilo inapunguza nguvu za kiume na asilimia kubwa mbegu yako ya kiume itashindwa kurutubisha ya mwanamke....please acha for your health......mademu wapo wengi

Peleka upuuzr wako huko!
 
Kwanza pole,maana najua ni wewe usilete visingizio hapa,Hebu jaribu kujifanyia tathmini kwenye dushelele yako je haijachubuka hata kidogo? Hakika japo puli ni tamu ila ni rahisi sana kupata maambukizo ya ukimwi na magonjwa mengine ya zinaa kupitia hiyo michubuko kwa wale wa pekupeku,jaribu kupunguza na hata kuacha kabisa
 
ukipiga puri dushelele yako inakuwa imara, huchubuki ovyo, hata ile sensitivity ya glans penis inapungua hivyo tatizo la kumaliza haraka ukiwa unafanya mapenzi linaisha! Puri mwisho wa matatizo, huleta amani na utulivu kwa wanaume!
 
inawezekana mi sikatai,tatizo la huyo jamaa kipaji anacho lakini anakikalia,wenzake tumechukulia madolali!mshauri akashiriki!

yapo pia mashindano ya mwanamke mtamu zaidi,kama unajiamini we mtamu nikupe mchongo ukashiriki?kumbuka kuna interview lakini!!!!!teh!teh!teh

we Jamaa Wewe Dah!
Uhahahahahahah.....Kh!
NIMECHEKA SANA HUKU BEHIND THE SCENE!
 
yani mi kupiga puli siachi na dawa sitaki, asipokuwepo tu mama watoto kwa muda lazima nipige kidogo, ina raha yake tofauti na kula mzigo wa ukweli....raha sana...
wala asiwadanganye mtu eti kuna madhara, yani nimeanza tangu nabalehe mpaka leo lakini hakuna mgongo kuuma wala nguvu kupungua tena ndo nimeongeza kasi hahhahahahaha
mkeo kazi anayo
 
Wanaume wengi huu mchezo ushatushinda kuacha hata tuliooa kuna kipindi unajiserve wakati mkeo yupo kitandani!Punyeto mchezo?Unakamua demu unaemtak mahali popote,muda wowote na kwa style yoyote!Ukiwa unapiga puli hata mkeo hakutawali!akikuzingua unajikunja unatoa lenye kiherehere unarudi kwenye msimamo wako wa kama alikuwa anataka kukukshinikiza jambo!
aisee mkeo pole yake
 
Jaman nina ndugu yangu anapenda cana hizo mambo nimemshauri aache but anacema hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke co naomben michango jaman nimcaidiaje.
Kiimani ni dhambi hata quraan imeandika "ole wake mwanaume aufanyaye mkono wake kuwa uke". kwa biblia cjui imeandikwaje ila ni dhambi as unazini. Kitaalam (afya) tabia hii ukiizoea ina kujakupunguza ladha ya utamu wa tendo la ndoa, yaani utakuwa ukilalal na mwanamke hutakaa uone utamu wake as umeshazoea kufanya hivi, haitapendeza umeoa mke unalala nae huridhiki utajarib mwingine, tatizo pale pale na mwingine na mwingine kumbe tatizo ni wewe.
na kwa mada yako hapo juu huyu tatizo lishamkumba amesema "hyo mambo ndo inamfanya apate raha kuliko hata ku du na mwanamke". akioa itakuwa tabu atakua MALAYA as mkewe hatamtosha.
Mbinu yakuacha ni kujikeep bize na kazi au shule na kusogea karib na Mungu ili aache nakutubu
Natumai nimejibu nakukusaidia kama Great thinker
 
mwambie ashiriki sana kwenye mazoezi na asifikirie sana mambo ya ngono.
TAHADAHARI:
UPIGAJI SANA WA PUNYETO UNAMADHARA SANA HAPO UZEENI:HASAHASA TATIZO LA KUKOJOA.
 
thanks bwana kwa kutoa kilicho moyon mwako,na unafanya unachoridhika ila chek hasara then amua ufanye nn.
 
Back
Top Bottom