Vaislay kuna neno huku hebu ukuje harakaaa
Kaizer nadhani tulishaongea
Vin Diesel unanipa mawazo sana naona bado unamuwaza@chaming lady..sidhan kama naweza kuendelea na wewe naomba talaka..
Asprin nitarud kutoa tamko
Mentor maomba leo unishike mkono mawazo yamenizidi uwezo
Kaizer nadhani tulishaongea
Vin Diesel unanipa mawazo sana naona bado unamuwaza @chaminglady..sidhan kama naweza kuendelea na wewe naomba talaka..
Asprin nitarud kutoa tamko
Mentor maomba leo unishike mkono mawazo yamenizidi uwezo
Namtambua charminglady kama my number one girl...hao wengine walishanitoka
Habari za Paloma muulize sosoliso
Hitimisho.. suluhisho... maamuzi baada ya jambo...kwa mtazamo wako hapo suluhu ni nini?
Kaizer nadhani tulishaongea
Vin Diesel unanipa mawazo sana naona bado unamuwaza@chaming lady..sidhan kama naweza kuendelea na wewe naomba talaka..
Asprin nitarud kutoa tamko
Mentor maomba leo unishike mkono mawazo yamenizidi uwezo
Safi sana!!! Hii imekaa poa!!! Nakuunga mkono 100% Umbeya tu unamsumbua aliyeanzisha hii mada. Kazi kufuatilia maisha ya watu!!! Hatutaki umbeya hapa ndani. Hayatuhusu
Hitimisho.. suluhisho... maamuzi baada ya jambo...
Umeniuliza kiutu uzima sana aiseee
hahahaaaaaa huwa unanichekesha sana wewe mtu
na we ungemjibu kiutu uzima
Japokuwa anaonekana kama ni mwoga wa maisha hivi
Kanipablishiiiiii..... a.k.a kaniadvataiziiiiiii......................
Mzima swaiba @Heave on earth
whaaaaat???