Utawala wa Marehemu Magufuli - Blessing in Disguise

Kenge kweli wewe , yaan Wakenya wenyewe walitaman JPM awaongoze , alafu Kenyata ndio awe Bora ??

Kenyata na UFISADI wake huo wakifamilia, matatizo walonayo wakenya , unafananisha miaka mitano ya JPM ilivyokua Bora

Wewe ni kenge !!!
Ndugu uta hangaika, Africa hupenda viongozi wenye maneno mengi, story nyingi na risala ndefu with zero actions, viongozi aina ya JPM , Xinjiping ni vigumu kukubalika katika Bara la giza.

Magufuli ni kiongozi pekee Africa baada ya kuingia madarakani kuanza kushika Wala rushwa na mafisadi Africa, ndo hapo viongozi wote wa Africa waliamuka na kusema kumbe serikali Ina uwezo wa kukamata hata billionaire na kumpeleka mahakamani, vita ya Magufuli Tanzania haikuwa raisi maana alipigana kwanza na chama chake, mafisadi, mabwenye hivyo kuchukiwa hata na wale waliomzunguka ni kawaida, hakuna Rais yeyote wa kumlinganisha na Magufuli hapa Africa.

Mafanikio tunayoona Leo Tz ni zao la Magufuli, ndo Rais aliyesisitiza na kuanzisha matumizi makubwa ya EFD Tanzania Kwa wafanya biashara, ukusanyaji wa mapato ukaongezeka, una fikiri matajiri kaliakoo na mwingine wata furahia? Tanzania ni watu wa kusamehe maana wanalilia ubepari ambao hawawezi kuuishi, Magufuli alikuwa ni pure mbepari asili na mzalendo halisi kupita jokers karibu wote walio mtangulia na wajao.
 
Hatumtukani marehemu, tuyataja mambo aliyoyatenda vibaya, yaliyotupa funzo, na kisha tuone namna ya kuenenda vizuri, na mfumo wa utawala, kwa kupitia katiba, uzuie kabisa mtu kutenda uovu kama alioutenda marehemu, hata kama mtu hiyo atakuwa ni Rais.
Since last year kwani ni project mnafanya? hii nguvu na kelele mngekua mnapiga tupate umeme na maji ya uhakika.
Magu is no more,kwani kumsimanga ndio maendeleo au?
Enough is enough, mjifunze kumove on.
Nchi za wenzenu wanapigania wapate unafuu wa maisha,nyie sasa?!
Mmebaki huko last year mpaka Leo,itabidi muupdate.
Watz tunapigania vitu visivyo na msaada,fitna,umbea na chuki,how low we are.
 
Ni
Wengi waliumizwa vibaya na utawala wa Marehemu Magufuli. Taifa liliumizwa na utawala wa Magufuli:

1) Katiba iliwekwa kapuni

2) Sheria ziliwekwa jalalani

3) Utekaji, upotezaji na mauaji ya watu walioonekana kuukosoa utawala wake likawa jambo la kawaida (tupo kwenye vita ya uchumi. Atakayekwenda tofauti ni msakiti. Ninyi wanajeshi mnajua msaliti huwa anafanywa nini - Magufuli)

4) Demokrasia ikatupwa chooni (sasa ni wakati wa kujenga nchi. Napiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa - Magufuli)

5) Kesi za kubambika watu ikawa adhabu kwa wale ambao utawala unataka kuwatia adabu (tajiri naweza kumfanya chochote wakati wowote - Magufuli)

6) Uporaji wa pesa za matajiri kikawa chanzo cha mapato ya serikali (DPP ongea na hao tunaowashtaki kwa ujumu uchumi. Wakikubali kutulipa, uwaachie, wakigoma, tena waache wakae huko moja kwa moja - Magufuli)

7) Kuibuka kwa wasaidizi wake majambazi (Sabaya, et al) wakiwa na mamlaka yasiyoguswa na chombo chochote

8) Matumizi ya pesa ya umma yasiyozingatia taratibu (report ya CAG)

9) Ufisadi uliolindwa na dola kwa kuziba midomo ya watu na uhuru wa vyombo vya habari (Magufuli aliiondoa Tanzania kwenye nchi zinazotekeleza mwongozo wa kuendesha Serikali kwa uwazi)

10) Kudororesha mahusiano ya kimataifa kwa ujeuri (vifaranga toka nchi jirani walichomwa, ng'ombe wa wafugaji wa nchi jirani 4,000 walioingia ardhi ya Tanzania walitaifishwa, na Magufuli akasema, Tanzania siyo shamba la bibi. Wiki moja baadaye ng'ombe wa wafugaji wa Tanzania 9,000 walikamatwa ndani ya ardhi ya Kenya, Wakaenya wakawarushia wafugaji wa Tanzania ng'ombea wote, na gavana wa Kenya kutamka kuwa uongozi wa Magufuli ulikuwa ni aibu ya Afrika. Watanzania wanalia, Wakenya wanalia)

11) Kuwajaza watu ujinga kwa propaganda mbalimbali (Magufuli akadai kuwa nchi yetu imekwishakuwa tajiri kiasi cha kuwa donor country, na miradi yote inajengwa kwa pesa zetu)

12) Kuwahadaa watu waamini kuwa mambo makubwa sana na ya pekee yanafanywa na utawala wake wakati mengi ya hayo mambo yalikwishafanywa hata na awamu zilizotangulia (SGR ya TAZARA ilijengwa wakati wa Mwalimu Nyerere, barabara za lami zenye urefu wa zaidi ya kilometa 12,000 zilijengwa wakati wa Kikwete, wakati wa Magufuli zilijengwa 2,800 tu. Ndege mpya 13 zilinunuliwa wakati wa Nyerere ukilinganisha ndege 8 zilizonunuliwa wakati wake. Daraja la Umoja wakati wa Mkapa, la Kigamboni wakati wa Kikwete, Mabwawa ya umeme ya Mtera, Kigansi, Kidatu, umeme wa gas ilikuwa wakati wa watanguluzi wake; yeye bwawa la Nyerere ikawa kelele kila siku. Vyuo vikuu UDSam, Sokoine, Dodoma; wakati wake hakuna hata kimoja. Hospitali kubwa Muhimbili, Mlaganzila, Taasisi ya Moyo ya Jakaya, Hospitali ya Mkapa; wakati waje hakuna hospitali kubwa hata moja; na mengine mengi, lakini aliwajaza ujinga raia wasio na uelewa waone kuwa watangulizi wake hawakufanya kitu)

13) Utawala wenye viashiria vya upendeleo na ubaguzi na wakati fulani kutamka wazi kabisa kuwa majimbo fulani ya uchaguzi hayatapelekewa maendeleo kwa sababu walichagua wapinzani

14) Kufuta uwepo wa bunge huru la wananchi na kumwagiza spika kuwa awashughulikie wabunge kule ndani kwa kuwatoa nje, halafu nje yeye atawashughulikia.

Kitu kilicho dhahiri ni kwamba Tanzania haijawahi kuwa na katiba nzuri bali ilitegemea hekima ya Rais, akiamua kuwaburuza, hakuna wa kumzuia.

Kuwepo kwa Marais waungwana, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, kuliwafanya watu waamini tuna katiba na sheria nzuri. Rais marehemu Magufuli ndiye aliyewafumbua macho Watanzania waone kuwa tuna katiba mbaya sana na tuna sheria mbaya sana. Hivyo ujio wa Rais Magufuli, pamoja na hasara tuliyoipata, umetusaidia sana kutambua ubovu na ubaya wa katiba na sheria zetu. Hivyo badala ya kuona kuwa utawala wa marehemu ilikuwa ni laana tupu, tushukuru pia kuwa ndio uliowafumbua wengi macho kutambua katiba yetu ni mbovu kiasi gani. Utambuzi huo iwe ni kichocheo kikubwa cha kutaka katiba mpya, siyo kesho wala keshokutwa bali SASA.

Tusipofanya hivyo, utawala wa Samia, kwa sababu na wenyewe umejaa uungwana, utatusahaulisha tatizo la msingi la Taifa letu, ambalo ni KATIBA MBAYA.
Ni mpumbavu tu atakayesema Magufuli hakuwa kiongozi mzuri.
Ni wapumbavu tu waliozoea UFISADI awamu ya tatu na ya nne na ya sita watamkosoa Magufuli.
MAGUFULI NI KIONGOZI AMBAYE ALITAKA KUTUPELEKA PAZURI.
KWA KUTUTOA KTK UTEGEMEZI NA TUWE TUNAJITEGEMEA KTK ASPECTS ZOTE ZA KIUCHUMI.
NI KIONGOZI AMBAYE ALIWEKA NIDHAMU KWA WATUMISHI WA UMMA JAPO HT ZA UOGA.
NI KIONGOZI AMBAYE ALIONESHA KUWA UNATAKIWA ULE KWA JASHO LAKO SIO KWA MICHONGO MICHONGO KM ILIVYO AWAMU ZILIZOPITA.
NI KIONGOZI AMBAYE ALIONESHA KUWA KIONGOZI ANATAKIWA KUWA MTENDAJI WALA SIO MUONGEAJI.
KAANZISHA MIRADI MINGI NA IKAKAMILIKA KWA WAKATI MATHALAN UKARABATI WA RELI TRC,KIBAHA HIGH WAY,TANZANITE BRIDGE,MWENDOKASI,UBUNGO INTERCHANGE N.K N.K.
INGELIKUA AWAMU ZILIZOPITA HUSUSAN YA KAKA AKE SAMIA (KIKWETE)MRADI MMOJA UNGEJENGWA MIAKA MITANO.
Halafu watanzania acheni kuwa wanafiki hususan we mleta mada utakufa kinywa wazi.
Unataka kusema awamu ya KIKWETE hakukua na udhalimu?
Uuaji wa wafanyabiashara wa madini na kusingizia ujambazi,Askari kutumia hovyo madaraka,kuvunja sheria kisa mtu katoka ktk familia ya viongozi,kunyanyasa wajasiriamali wadogo,UFISADI uliokithiri,ubambikaji kesi.
Au ww siasa umeanza kuzifuatilia lini???
NIMALIZIE KUSEMA HAKUNA ASIYE NA MAPUNGUFU ILA UMUHIMU WAKO TUNAUPIMA KWA MANUFAA MENGI ULIYOLETA.
KWA VIONGOZI WOTE HAKUNA KIONGOZI ALOLETA MANUFAA MENGI KAMA MAGUFULI NA HILO LIMEONEKANA.
 
Wengi waliumizwa vibaya na utawala wa Marehemu Magufuli. Taifa liliumizwa na utawala wa Magufuli:

1) Katiba iliwekwa kapuni

2) Sheria ziliwekwa jalalani

3) Utekaji, upotezaji na mauaji ya watu walioonekana kuukosoa utawala wake likawa jambo la kawaida (tupo kwenye vita ya uchumi. Atakayekwenda tofauti ni msakiti. Ninyi wanajeshi mnajua msaliti huwa anafanywa nini - Magufuli)

4) Demokrasia ikatupwa chooni (sasa ni wakati wa kujenga nchi. Napiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa - Magufuli)

5) Kesi za kubambika watu ikawa adhabu kwa wale ambao utawala unataka kuwatia adabu (tajiri naweza kumfanya chochote wakati wowote - Magufuli)

6) Uporaji wa pesa za matajiri kikawa chanzo cha mapato ya serikali (DPP ongea na hao tunaowashtaki kwa ujumu uchumi. Wakikubali kutulipa, uwaachie, wakigoma, tena waache wakae huko moja kwa moja - Magufuli)

7) Kuibuka kwa wasaidizi wake majambazi (Sabaya, et al) wakiwa na mamlaka yasiyoguswa na chombo chochote

8) Matumizi ya pesa ya umma yasiyozingatia taratibu (report ya CAG)

9) Ufisadi uliolindwa na dola kwa kuziba midomo ya watu na uhuru wa vyombo vya habari (Magufuli aliiondoa Tanzania kwenye nchi zinazotekeleza mwongozo wa kuendesha Serikali kwa uwazi)

10) Kudororesha mahusiano ya kimataifa kwa ujeuri (vifaranga toka nchi jirani walichomwa, ng'ombe wa wafugaji wa nchi jirani 4,000 walioingia ardhi ya Tanzania walitaifishwa, na Magufuli akasema, Tanzania siyo shamba la bibi. Wiki moja baadaye ng'ombe wa wafugaji wa Tanzania 9,000 walikamatwa ndani ya ardhi ya Kenya, Wakaenya wakawarushia wafugaji wa Tanzania ng'ombea wote, na gavana wa Kenya kutamka kuwa uongozi wa Magufuli ulikuwa ni aibu ya Afrika. Watanzania wanalia, Wakenya wanalia)

11) Kuwajaza watu ujinga kwa propaganda mbalimbali (Magufuli akadai kuwa nchi yetu imekwishakuwa tajiri kiasi cha kuwa donor country, na miradi yote inajengwa kwa pesa zetu)

12) Kuwahadaa watu waamini kuwa mambo makubwa sana na ya pekee yanafanywa na utawala wake wakati mengi ya hayo mambo yalikwishafanywa hata na awamu zilizotangulia (SGR ya TAZARA ilijengwa wakati wa Mwalimu Nyerere, barabara za lami zenye urefu wa zaidi ya kilometa 12,000 zilijengwa wakati wa Kikwete, wakati wa Magufuli zilijengwa 2,800 tu. Ndege mpya 13 zilinunuliwa wakati wa Nyerere ukilinganisha ndege 8 zilizonunuliwa wakati wake. Daraja la Umoja wakati wa Mkapa, la Kigamboni wakati wa Kikwete, Mabwawa ya umeme ya Mtera, Kigansi, Kidatu, umeme wa gas ilikuwa wakati wa watanguluzi wake; yeye bwawa la Nyerere ikawa kelele kila siku. Vyuo vikuu UDSam, Sokoine, Dodoma; wakati wake hakuna hata kimoja. Hospitali kubwa Muhimbili, Mlaganzila, Taasisi ya Moyo ya Jakaya, Hospitali ya Mkapa; wakati waje hakuna hospitali kubwa hata moja; na mengine mengi, lakini aliwajaza ujinga raia wasio na uelewa waone kuwa watangulizi wake hawakufanya kitu)

13) Utawala wenye viashiria vya upendeleo na ubaguzi na wakati fulani kutamka wazi kabisa kuwa majimbo fulani ya uchaguzi hayatapelekewa maendeleo kwa sababu walichagua wapinzani

14) Kufuta uwepo wa bunge huru la wananchi na kumwagiza spika kuwa awashughulikie wabunge kule ndani kwa kuwatoa nje, halafu nje yeye atawashughulikia.

Kitu kilicho dhahiri ni kwamba Tanzania haijawahi kuwa na katiba nzuri bali ilitegemea hekima ya Rais, akiamua kuwaburuza, hakuna wa kumzuia.

Kuwepo kwa Marais waungwana, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, kuliwafanya watu waamini tuna katiba na sheria nzuri. Rais marehemu Magufuli ndiye aliyewafumbua macho Watanzania waone kuwa tuna katiba mbaya sana na tuna sheria mbaya sana. Hivyo ujio wa Rais Magufuli, pamoja na hasara tuliyoipata, umetusaidia sana kutambua ubovu na ubaya wa katiba na sheria zetu. Hivyo badala ya kuona kuwa utawala wa marehemu ilikuwa ni laana tupu, tushukuru pia kuwa ndio uliowafumbua wengi macho kutambua katiba yetu ni mbovu kiasi gani. Utambuzi huo iwe ni kichocheo kikubwa cha kutaka katiba mpya, siyo kesho wala keshokutwa bali SASA.

Tusipofanya hivyo, utawala wa Samia, kwa sababu na wenyewe umejaa uungwana, utatusahaulisha tatizo la msingi la Taifa letu, ambalo ni KATIBA MBAYA.
Aiseee huyu mwendazake alikua shetani!!!!
 
Kawaida yenu mshazoeleka.
Hamkusikika mkiwasema wa awamu ya tatu na ya nne na ya sita ila mnamsema marehemu.
Bila shaka we utakua mionhoni mwa wa vyeti feki mliotumbuliwa.
MAGUFULI ALIAMSHA AKILI ZA WAAFRIKA.
KUFA MAGUFULI UMEKUFA MOYO WA AFRIKA .
 
Utanisamehe ila unafaa kuitwa mtu usiyejua kitu ila unalazimisha ujuaji.
Unayajua madudu ya Kenyatta ww!?
Huyo Uhuru Kenyatta alopelekwa ICC miaka ya 2010s ndio unamsifia!?
Aloendekeza nepotism na tribalism na kufanya wananchi kukatana mapanga!?
Huyo Uhuru aloiweka Kenya ktk mataifa yenye madeni yaliyoshindikana!?
Huyo Ramaphosa nakuachia umjadili ww km homework.
Ongea unachokijua kulazimisha ujuaji huleta upumbavu akilini.
Mbona nimekutajia.Au unasoma ya kwako tu?Ramaphosa na Kenyatta.
 
Acha uongo
China limekua Taifa la pili kwa ukubwa wa uchumi duniani tangu enzi Hu Jintao akiwa Rais wake.
Acha uongo.
China imekua taifa la pili kwa uchumi mkubwa kipindi cha Xin Jinping.
Usitufanye sisi watoto.
 
We JAMAA sijui mdada huna unachokijua mpk unanuka aibu.
Utamfananishaje Magufuli aliyefanya miradi karibuni yote alofanya Kenyatta ndani ya miaka mitano tena kwa gharama za chini!?
Mfano mdogo ni sgr ya Kenya ambayo inatumia diesel locomotives ni gharama kubwa kuliko hii aliyoiacha Magufuli ambayo itatumia electric locomotives.

Kuita mtu kenge umeanza kupotoka.Rudi kwenye kuandika vema.Nani alikudanganya Wakenya walimtaka Magufuli?Mara ya kwanza(siku za mwanzomwanzo)aliweza kuteka akili legevu za baadhi ya watu.Hebu leo kawaulize tena.Utamfananisha Kenyatta na Magufuli?
 
Hapo tu inajulisha kiasi gani una upeo finyu.
Nyerere kutokea hivyo kwake na watu kumheshimu kwake ni kwasababu ya yeye kusaidia ktk kutaftia mataifa mengi hapa Afrika Uhuru.
Kumheshimisha wakafanya hivyo.
Ni tofauti na Magufuli .

Nenda mataifa jirani ukaone nchi kadhaa ambazo mitaa, barabara na baadhi ya infrastructure zina majina ya Nyerere. Halafu niambie ni nchi gani, ina jipo genge la mama nitilie lenye jina la Magufuli.
 
Wengi waliumizwa vibaya na utawala wa Marehemu Magufuli. Taifa liliumizwa na utawala wa Magufuli:

1) Katiba iliwekwa kapuni

2) Sheria ziliwekwa jalalani

3) Utekaji, upotezaji na mauaji ya watu walioonekana kuukosoa utawala wake likawa jambo la kawaida (tupo kwenye vita ya uchumi. Atakayekwenda tofauti ni msakiti. Ninyi wanajeshi mnajua msaliti huwa anafanywa nini - Magufuli)

4) Demokrasia ikatupwa chooni (sasa ni wakati wa kujenga nchi. Napiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa - Magufuli)

5) Kesi za kubambika watu ikawa adhabu kwa wale ambao utawala unataka kuwatia adabu (tajiri naweza kumfanya chochote wakati wowote - Magufuli)

6) Uporaji wa pesa za matajiri kikawa chanzo cha mapato ya serikali (DPP ongea na hao tunaowashtaki kwa ujumu uchumi. Wakikubali kutulipa, uwaachie, wakigoma, tena waache wakae huko moja kwa moja - Magufuli)

7) Kuibuka kwa wasaidizi wake majambazi (Sabaya, et al) wakiwa na mamlaka yasiyoguswa na chombo chochote

8) Matumizi ya pesa ya umma yasiyozingatia taratibu (report ya CAG)

9) Ufisadi uliolindwa na dola kwa kuziba midomo ya watu na uhuru wa vyombo vya habari (Magufuli aliiondoa Tanzania kwenye nchi zinazotekeleza mwongozo wa kuendesha Serikali kwa uwazi)

10) Kudororesha mahusiano ya kimataifa kwa ujeuri (vifaranga toka nchi jirani walichomwa, ng'ombe wa wafugaji wa nchi jirani 4,000 walioingia ardhi ya Tanzania walitaifishwa, na Magufuli akasema, Tanzania siyo shamba la bibi. Wiki moja baadaye ng'ombe wa wafugaji wa Tanzania 9,000 walikamatwa ndani ya ardhi ya Kenya, Wakaenya wakawarushia wafugaji wa Tanzania ng'ombea wote, na gavana wa Kenya kutamka kuwa uongozi wa Magufuli ulikuwa ni aibu ya Afrika. Watanzania wanalia, Wakenya wanalia)

11) Kuwajaza watu ujinga kwa propaganda mbalimbali (Magufuli akadai kuwa nchi yetu imekwishakuwa tajiri kiasi cha kuwa donor country, na miradi yote inajengwa kwa pesa zetu)

12) Kuwahadaa watu waamini kuwa mambo makubwa sana na ya pekee yanafanywa na utawala wake wakati mengi ya hayo mambo yalikwishafanywa hata na awamu zilizotangulia (SGR ya TAZARA ilijengwa wakati wa Mwalimu Nyerere, barabara za lami zenye urefu wa zaidi ya kilometa 12,000 zilijengwa wakati wa Kikwete, wakati wa Magufuli zilijengwa 2,800 tu. Ndege mpya 13 zilinunuliwa wakati wa Nyerere ukilinganisha ndege 8 zilizonunuliwa wakati wake. Daraja la Umoja wakati wa Mkapa, la Kigamboni wakati wa Kikwete, Mabwawa ya umeme ya Mtera, Kigansi, Kidatu, umeme wa gas ilikuwa wakati wa watanguluzi wake; yeye bwawa la Nyerere ikawa kelele kila siku. Vyuo vikuu UDSam, Sokoine, Dodoma; wakati wake hakuna hata kimoja. Hospitali kubwa Muhimbili, Mlaganzila, Taasisi ya Moyo ya Jakaya, Hospitali ya Mkapa; wakati waje hakuna hospitali kubwa hata moja; na mengine mengi, lakini aliwajaza ujinga raia wasio na uelewa waone kuwa watangulizi wake hawakufanya kitu)

13) Utawala wenye viashiria vya upendeleo na ubaguzi na wakati fulani kutamka wazi kabisa kuwa majimbo fulani ya uchaguzi hayatapelekewa maendeleo kwa sababu walichagua wapinzani

14) Kufuta uwepo wa bunge huru la wananchi na kumwagiza spika kuwa awashughulikie wabunge kule ndani kwa kuwatoa nje, halafu nje yeye atawashughulikia.

Kitu kilicho dhahiri ni kwamba Tanzania haijawahi kuwa na katiba nzuri bali ilitegemea hekima ya Rais, akiamua kuwaburuza, hakuna wa kumzuia.

Kuwepo kwa Marais waungwana, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete, kuliwafanya watu waamini tuna katiba na sheria nzuri. Rais marehemu Magufuli ndiye aliyewafumbua macho Watanzania waone kuwa tuna katiba mbaya sana na tuna sheria mbaya sana. Hivyo ujio wa Rais Magufuli, pamoja na hasara tuliyoipata, umetusaidia sana kutambua ubovu na ubaya wa katiba na sheria zetu. Hivyo badala ya kuona kuwa utawala wa marehemu ilikuwa ni laana tupu, tushukuru pia kuwa ndio uliowafumbua wengi macho kutambua katiba yetu ni mbovu kiasi gani. Utambuzi huo iwe ni kichocheo kikubwa cha kutaka katiba mpya, siyo kesho wala keshokutwa bali SASA.

Tusipofanya hivyo, utawala wa Samia, kwa sababu na wenyewe umejaa uungwana, utatusahaulisha tatizo la msingi la Taifa letu, ambalo ni KATIBA MBAYA.
Magafool alikuwa jambazi kabisa
 
Wewe kilaza China imekuwa Taifa la pili kwa ukubwa duniani mwaka 2010 wakati Hu Jintao akiwa Rais. Unalishwa matangopori nawe unabugia tu wakati rekodi zipo.
Acha uongo

Acha uongo.
China imekua taifa la pili kwa uchumi mkubwa kipindi cha Xin Jinping.
Usitufanye sisi watoto.
 
We JAMAA sijui mdada huna unachokijua mpk unanuka aibu.
Utamfananishaje Magufuli aliyefanya miradi karibuni yote alofanya Kenyatta ndani ya miaka mitano tena kwa gharama za chini!?
Mfano mdogo ni sgr ya Kenya ambayo inatumia diesel locomotives ni gharama kubwa kuliko hii aliyoiacha Magufuli ambayo itatumia electric locomotives.
Weye naye ni lipuuzi kama mwenzio.Mmeng'ang'ania ujenzi na ufahari wa "mavitu" tu badala ya utu na watu.Uchumi wa watu,demokrasia na utulivu mnamuachia nani?Aliviweza hivyo?Eti huna unachokijua!Weye unajua nini?Si ajabu nabishana na kitoto tu hapa.Kaoge!
 
Utanisamehe ila unafaa kuitwa mtu usiyejua kitu ila unalazimisha ujuaji.
Unayajua madudu ya Kenyatta ww!?
Huyo Uhuru Kenyatta alopelekwa ICC miaka ya 2010s ndio unamsifia!?
Aloendekeza nepotism na tribalism na kufanya wananchi kukatana mapanga!?
Huyo Uhuru aloiweka Kenya ktk mataifa yenye madeni yaliyoshindikana!?
Huyo Ramaphosa nakuachia umjadili ww km homework.
Ongea unachokijua kulazimisha ujuaji huleta upumbavu akilini.
Moron!Ngoja utengenezewe mazingira ukapumzike ili uingie kama "guest user"!
 
Nyerere alitawala miaka mingapi ? Na Magufuri miaka mingapi ? Unalinganisha ndege alizonunua Magu kwa miaka 5 nyerere kwa miaka 23 ? Hauko serious.
Nyerere alitufundisha kuwa kupanga ni kuchagua. Msgufuli alichagua tu kununua ndege na kuacha mambo mengine mengi muhimu zaidi na yaliyogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Fedha nyingi sana za kununua ndege zilikwenda nje kunufaisha uchumi wa nchi inayozisha ndege badala ya kuzunguka ndani ya nchi na kunufaisha uchumi wa nchi yake. Kibaya zaidi yeye alilipa cash wakati kawaida duniani ndege huchukuliwa na malipo kufanyika taratibu. Alikuwa na upeo finyu sana. Alinunua ndege kwa kunyonga sekta nyingine za maendeleo; kuna wizara zilkuwa hazipati bajeti ya maendeleo wala matumizi ya kawaida. Mishahara na nyongeza za kisheria za watumishia ziligandishwa. Ajira zilisimama na kusababisha uhaba mkubwa kwenye sekta za jamii, mfano elimu 40%! Sekta inayoajiri wananchi wengi, kilimo ilitelekezwa kabisa. Miaka mitano ya uongozi hajapata kuzungumza na wakulima wa nchi kupitia maadhimisho yao ya kila mwaka. Huyo ni kiongozi wa Tanzania au kituko?
 
Nimesema hospitali kubwa siyo hospitali za Wilaya au vituo vya afya.

Kwa ufafanuzi zaidi, hospitali zote za Wilaya na vituo vya afya vilivyojengwa wakati wa awamu ya 5, katika thamani havifikii hospitali moja kubwa kama Mloganzila au Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, zilizojengwa awamu ya 4.

Wakati wa awamu ya 5, kulijengwa 2,800km za lami. Wakati wa awanu ya 4 zilijengwa 12,000km za lami. Compare the difference.
Unaifahamu hospital ya mbeya ya mama na mtoto META...???

Vip mtwara refferal...???

Geita pia...
Simiu...

Amejenga mastand makubwa makubwa
Amejenga madaraj makubwa mno
Vituo vya afya
Umeme haukukatika tena ulikua bei rahis 27,000 tu
Alijenga barabara mno tena zile ambaz wengine waliouuza, huko njombe, tabora, katavi, mbeya, iringa, kila sehemu,
Elimu bure
Aliboresha huduma za jamii zote, shule mpk maji.
JPM km angemaliza miaka 10. Tungempa heshima ya kuwa BABA WA TAIFA maan angezidi vipind vyote.

Huwez maridha mazuri yake kutaja.

Aliwah kuwa n mapungufu. Moja wapo ni KUWASAMEHE wanaokuhujum teena baada ya kuwajua, kinana, nape, membe, makamba, January na wengn weng. Aliwaacha bure kbsa....
 
Nyerere alitufundisha kuwa kupanga ni kuchagua. Msgufuli alichagua tu kununua ndege na kuacha mambo mengine mengi muhimu zaidi na yaliyogusa maisha ya wananchi moja kwa moja. Fedha nyingi sana za kununua ndege zilikwenda nje kunufaisha uchumi wa nchi inayozisha ndege badala ya kuzunguka ndani ya nchi na kunufaisha uchumi wa nchi yake. Kibaya zaidi yeye alilipa cash wakati kawaida duniani ndege huchukuliwa na malipo kufanyika taratibu. Alikuwa na upeo finyu sana. Alinunua ndege kwa kunyonga sekta nyingine za maendeleo; kuna wizara zilkuwa hazipati bajeti ya maendeleo wala matumizi ya kawaida. Mishahara na nyongeza za kisheria za watumishia ziligandishwa. Ajira zilisimama na kusababisha uhaba mkubwa kwenye sekta za jamii, mfano elimu 40%! Sekta inayoajiri wananchi wengi, kilimo ilitelekezwa kabisa. Miaka mitano ya uongozi hajapata kuzungumza na wakulima wa nchi kupitia maadhimisho yao ya kila mwaka. Huyo ni kiongozi wa Tanzania au kituko?
Malizia na matokeo yake ujinga na vifo viliongezeka
 
Nitamkumbuka daima Rais Magufuli kwa kuwa alikuwa mtu mwenye maamuzi na maamuzi mengi yaliwakilisha asilimia 80 ya Wananchi wa Tanzania.
 
Back
Top Bottom