Utawala wa Marehemu Magufuli - Blessing in Disguise

Utawala wa Marehemu Magufuli - Blessing in Disguise

Awamu ya fulani nimeisahau jina,Waziri Mkuu alikwenda nchi fulani akakuta vigari vidogo vingi,viswift,visuzuki akaambiwa hivi vigari ndio wanatumia Mawaziri,Waziri Mkuu wetu alishangaa,akaishia kusema kule kwetu basi tu sijui kama inawezekana,Waziri Mkuu lakini alikuwa hana maamuzi🤔
 
Awamu fulani nimeisahau jina Rais aliletewa list ya Mafisadi papa akaishia kusema awa wakiguswa nchi itatikisika.
 
Rais Magufuli alikuwa anasimama anasema Serikali inahamia Dodoma na mara moja ofisi zinaanza kujengwa na Serikali inahamia Dodoma,hakuna longolongo.
 
Kama Katiba ni mbovu suluhisho ni kuiweka pembeni, kuiboresha au kuleta mpya iliyo bora??
Authoritarian ni aina ya Uongozi pia , ndivo ilivyo china, Urusi, Cuba, Iran .

Lkn hizi nchi ziko wapi???.


Afrika haiwezi kuendelea ikiwa mtaendelea kufurahia aina ya viongozi ambao kichwan ni weupe, Et kisa Wanaongea Maneno mepesi mepesi.


JPM wakat fulan alilazimika kuweka katiba pemben, Kwa sababu KATIBA YENYEWE NI MBOVU.

JPM ni mwafalsafa aloamin katika maendeleo kama alivyoyaona yeye.

Na kweli, alifanya mambo makubwa ya ajabu ambayo ukichanganya watangulizi wake wote, kwa pamoja, hawajafikia Mazuri alofanya JPM., kiongozi hakutafuta faida yake, hakua fisadi , hakujineemesha, alisema nafufua shirika la ndege,akafufua, akasema najenga hiki nakile, vikaonekana, akasema natumbua wafanyakazi hewa, akatumbua ,akasema natumbua vyeti feki,akatumbua ,NANI ANGEJENGA DARAJA LA BUSISI???? LEO HII SENGEREMA IMEUNGANISHWA KWA BARABARA .NANI ANGEJENGA????. Akasema Dodoma, serikali ikahamia ,sasahivi Dodoma inachanua, akasema Bwawa la umeme, Kazi ikaanza, sasahivi mnapigwa danadana ...

Alisema,akatenda, hakua mwanasiasa, yule alikua ni MCHAPAKAZI ALIYEJITOA KWA AJILI YA WENGI.



Labda, Tuweke mambo Sawa, Sasa hivi simnacheka , KAMA KUNA LA MAANA ATAKALOFANYA HUYU MAMA YENU , LIKAONEKANA, NA WATU WAKAPIGA MAKOFI , basi mtajipongeza.
 
Back
Top Bottom