Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,036
- 71,268
Ndo sasa linganisha hao wengine na miaka mitano ya JPM.Sehemu kubwa ya Africa imekuwa ikiongozwa kwa authorianitism au udikteta tangu uhuru ila bado Africa ni maskini wa kutupwa mpaka leo.
Taifa hili lingefikia hatua gani Kwa miaka kumi Yake ??
Ni Kwa sababuya Falsafa za Xi Jinping , China Sasa ndo Taifa lapili Kwa uchumi Duniani kiasi kwamba wamemzawadia zawadi yakukaa madarakan miaka mingi.
Nchii aitaji viongozi wenye maono, uthubutu ,Maendeleo hayaletwi na wazungu mnaoenda kuwalialia misaada .
Mambo mengi sana Kwa Sasa yamesimama, mengine yamerudi Kule yalikokua.
Ndio maana nasema, ni wajinga wapumbavu, vyeti feki, watumishi hewa, wapigaji, wenye Maisha ya ujanja ujanja na WA aina hiyo ndio pekee wanaweza kudharau kazi alizofanya JPM.
Na JPM anawaumiza sana, kiasi kwamba pamoja nakutangulia kwake, bado mnaumia kuona kwamba kaacha mambo mengi yanayoelezea Dhamira yakeBora Kwa Taifa hili.