Utawala wa Marehemu Magufuli - Blessing in Disguise

Authoritarian ni aina ya Uongozi pia , ndivo ilivyo china, Urusi, Cuba, Iran .

Lkn hizi nchi ziko wapi???.

Afrika haiwezi kuendelea ikiwa mtaendelea kufurahia aina ya viongozi ambao kichwan ni weupe, Et kisa Wanaongea Maneno mepesi mepesi.

JPM wakat fulan alilazimika kuweka katiba pemben, Kwa sababu KATIBA YENYEWE NI MBOVU.

JPM ni mwafalsafa aloamin katika maendeleo kama alivyoyaona yeye.

Na kweli, alifanya mambo makubwa ya ajabu ambayo ukichanganya watangulizi wake wote, kwa pamoja, hawajafikia Mazuri alofanya JPM., kiongozi hakutafuta faida yake, hakua fisadi , hakujineemesha, alisema nafufua shirika la ndege,akafufua, akasema najenga hiki nakile, vikaonekana, akasema natumbua wafanyakazi hewa, akatumbua ,akasema natumbua vyeti feki,akatumbua ,NANI ANGEJENGA DARAJA LA BUSISI???? LEO HII SENGEREMA IMEUNGANISHWA KWA BARABARA .NANI ANGEJENGA????. Akasema Dodoma, serikali ikahamia ,sasahivi Dodoma inachanua, akasema Bwawa la umeme, Kazi ikaanza, sasahivi mnapigwa danadana ...

Alisema,akatenda, hakua mwanasiasa, yule alikua ni MCHAPAKAZI ALIYEJITOA KWA AJILI YA WENGI.

Labda, Tuweke mambo Sawa, Sasa hivi simnacheka , KAMA KUNA LA MAANA ATAKALOFANYA HUYU MAMA YENU , LIKAONEKANA, NA WATU WAKAPIGA MAKOFI , basi mtajipongeza.
Alifanya hayo mambo makubwa unayoyasifia kwa kukopa sana. Watu wenye akili kami huwa hawapendi kukopa sana maana mikopo ina matatizo makubwa sana.
 
Heee kwani Magufuli ndio agenda 2022?mnaboo endeni mfanye kazi.
Au mkishinda hapa mnamnanga ndio tutapata maendeleo.
Mnakazana kutukana asieskia wala kuwajibu.
Hakuna vitu vizuri vya maendeleo mlete tujadili?
 
Usiseme Mama yenu, sema Mama yetu, au Rais wetu. Kwani wewe una Rais mwingine?

Mimi siyo shabiki wa Samia, ni shabiki wa Tanzania. Kwa hiyo tusifanye arguments kiupambe au kiushabiki, mimi si shabiki wala mpambe wa kiongozi yeyote.

Kitu kimoja nakubaliana nawe kwa Magufuli, ni kuwa alikuwa akitaka kitu fulani kifanyike, basi alikuwa na uwezo wa kulazimisha/kuhakikisha kinafanyika. Hiyo ilikuwa positive qualification.

Shida ilikuwa katika kutambua ni jambo gani ni priority kwa wakati fulani au jambo gani litakuwa na positive impact kwa jambo jingine.

Na bahati mbaya sana alikosa quality nyingine nyingi za uongozi.
Hakuna kitu na hujui kitu
 
Hata wewe kama una uwezo wa kujifunza kutokana na makosa uliyowahi kuyafanya au makosa waliyofanya wenzako, basi utakuwa mwerevu. Kama hujifunzi chochote, basi umekosa werevu.
mimi sishangai koz nayo ni mawazo yako inabid tuyaheshimu but View attachment 2188753
images%20(6).jpg
 
Uhodari wa kuandika matusi hausaidii kitu.Bwana "Regase" alikuwa mpigaji tu(ripoti ya CAG) na hakuwa na maono wala talanta ya uongozi.
Kuna mipumbavu imelipwa humu kumsema Jpm hebu kanyeni mkalale hizo kenge zenu mnazo zitetea ndo zinajimilikisha nchi ni ya ukoo wao.... nyie kenge mkiambulia buku saba jioni mnarudi kukaa kwa shemeji zenu na kulala sebureni shwain kabisa.
 
Zawadi kuu ambayo Magufuli amewaachia watanzania ni uwezo wa kutambua sifa halisi za kiongozi anayefaa kuliongoza Taifa hili.
Infact alitupa zawadi ya viongozi wanafiki, ingekuwa watu wanafufuka on request naamini maneno aliyosema ndugai kuhusu kipi kianze kati ya sgr na bandari ya bagamoyo , yangemuumiza sana .
Kwamba kutangulia kujenga Sgr kabla ya bandari ya bagamoyo ilikuwa ni sawa na kutanguliza mkokoteni mbele punda nyuma .

Wakati mzee ana embark na ujenzi wa Sgr , inner cylcle ilikuwa haijabariki na wakakaa kimya kwa hofu.
 
Authoritarian ni aina ya Uongozi pia , ndivo ilivyo china, Urusi, Cuba, Iran .

Lkn hizi nchi ziko wapi???.

Afrika haiwezi kuendelea ikiwa mtaendelea kufurahia aina ya viongozi ambao kichwan ni weupe, Et kisa Wanaongea Maneno mepesi mepesi.

JPM wakat fulan alilazimika kuweka katiba pemben, Kwa sababu KATIBA YENYEWE NI MBOVU.

JPM ni mwafalsafa aloamin katika maendeleo kama alivyoyaona yeye.

Na kweli, alifanya mambo makubwa ya ajabu ambayo ukichanganya watangulizi wake wote, kwa pamoja, hawajafikia Mazuri alofanya JPM., kiongozi hakutafuta faida yake, hakua fisadi , hakujineemesha, alisema nafufua shirika la ndege,akafufua, akasema najenga hiki nakile, vikaonekana, akasema natumbua wafanyakazi hewa, akatumbua ,akasema natumbua vyeti feki,akatumbua ,NANI ANGEJENGA DARAJA LA BUSISI???? LEO HII SENGEREMA IMEUNGANISHWA KWA BARABARA .NANI ANGEJENGA????. Akasema Dodoma, serikali ikahamia ,sasahivi Dodoma inachanua, akasema Bwawa la umeme, Kazi ikaanza, sasahivi mnapigwa danadana ...

Alisema,akatenda, hakua mwanasiasa, yule alikua ni MCHAPAKAZI ALIYEJITOA KWA AJILI YA WENGI.

Labda, Tuweke mambo Sawa, Sasa hivi simnacheka , KAMA KUNA LA MAANA ATAKALOFANYA HUYU MAMA YENU , LIKAONEKANA, NA WATU WAKAPIGA MAKOFI , basi mtajipongeza.
Nyerere alitawala miaka mingapi ? Na Magufuri miaka mingapi ? Unalinganisha ndege alizonunua Magu kwa miaka 5 nyerere kwa miaka 23 ? Hauko serious.
 
basi tusimseme sana marehemu kwa sababu waliopo madarakan wapo since 2015
Atasemwa tu.Hii ni kwa sababu ya kuujua ukweli ili nchi isirudie makosa ya hovyohovyo tena.Tunajifunza kwa historia ili kujenga yaliyopo na yajayo kwa ubora zaidi.Kwani akisemwa anaumia huko kaburini?
 
binafsi magufuli ni bora kati ya viongozi bora africa tuacheni unafki na kumsema vibaya magufuli
 
Authoritarian ni aina ya Uongozi pia , ndivo ilivyo china, Urusi, Cuba, Iran .

Lkn hizi nchi ziko wapi???.

Afrika haiwezi kuendelea ikiwa mtaendelea kufurahia aina ya viongozi ambao kichwan ni weupe, Et kisa Wanaongea Maneno mepesi mepesi.

JPM wakat fulan alilazimika kuweka katiba pemben, Kwa sababu KATIBA YENYEWE NI MBOVU.

JPM ni mwafalsafa aloamin katika maendeleo kama alivyoyaona yeye.

Na kweli, alifanya mambo makubwa ya ajabu ambayo ukichanganya watangulizi wake wote, kwa pamoja, hawajafikia Mazuri alofanya JPM., kiongozi hakutafuta faida yake, hakua fisadi , hakujineemesha, alisema nafufua shirika la ndege,akafufua, akasema najenga hiki nakile, vikaonekana, akasema natumbua wafanyakazi hewa, akatumbua ,akasema natumbua vyeti feki,akatumbua ,NANI ANGEJENGA DARAJA LA BUSISI???? LEO HII SENGEREMA IMEUNGANISHWA KWA BARABARA .NANI ANGEJENGA????. Akasema Dodoma, serikali ikahamia ,sasahivi Dodoma inachanua, akasema Bwawa la umeme, Kazi ikaanza, sasahivi mnapigwa danadana ...

Alisema,akatenda, hakua mwanasiasa, yule alikua ni MCHAPAKAZI ALIYEJITOA KWA AJILI YA WENGI.

Labda, Tuweke mambo Sawa, Sasa hivi simnacheka , KAMA KUNA LA MAANA ATAKALOFANYA HUYU MAMA YENU , LIKAONEKANA, NA WATU WAKAPIGA MAKOFI , basi mtajipongeza.
We taira dawa yako ipo jikoni,

Huna kauli nzuri kwa mamlaka, huyo dikteta wako kashaozeana chini ya ardhi
 
Sehemu kubwa ya Africa imekuwa ikiongozwa kwa authorianitism au udikteta tangu uhuru ila bado Africa ni maskini wa kutupwa mpaka leo.
Authoritarian ni aina ya Uongozi pia , ndivo ilivyo china, Urusi, Cuba, Iran .

Lkn hizi nchi ziko wapi???.

Afrika haiwezi kuendelea ikiwa mtaendelea kufurahia aina ya viongozi ambao kichwan ni weupe, Et kisa Wanaongea Maneno mepesi mepesi.

JPM wakat fulan alilazimika kuweka katiba pemben, Kwa sababu KATIBA YENYEWE NI MBOVU.

JPM ni mwafalsafa aloamin katika maendeleo kama alivyoyaona yeye.

Na kweli, alifanya mambo makubwa ya ajabu ambayo ukichanganya watangulizi wake wote, kwa pamoja, hawajafikia Mazuri alofanya JPM., kiongozi hakutafuta faida yake, hakua fisadi , hakujineemesha, alisema nafufua shirika la ndege,akafufua, akasema najenga hiki nakile, vikaonekana, akasema natumbua wafanyakazi hewa, akatumbua ,akasema natumbua vyeti feki,akatumbua ,NANI ANGEJENGA DARAJA LA BUSISI???? LEO HII SENGEREMA IMEUNGANISHWA KWA BARABARA .NANI ANGEJENGA????. Akasema Dodoma, serikali ikahamia ,sasahivi Dodoma inachanua, akasema Bwawa la umeme, Kazi ikaanza, sasahivi mnapigwa danadana ...

Alisema,akatenda, hakua mwanasiasa, yule alikua ni MCHAPAKAZI ALIYEJITOA KWA AJILI YA WENGI.

Labda, Tuweke mambo Sawa, Sasa hivi simnacheka , KAMA KUNA LA MAANA ATAKALOFANYA HUYU MAMA YENU , LIKAONEKANA, NA WATU WAKAPIGA MAKOFI , basi mtajipongeza.
 
Unashanga nn?? Nitajie Kiongozi Wa Afrika kwasasa ambaye anaubora.

Hivi Rais Maguful mpaka baadhi ya mataifa,, Raia wao wakataman ndio angekua Rais wao....

Kuna Rais mwingine TZ alipendwa namna hiyo??

Nyeupe semeni ni Nyeupe!!.
Marais wengi wa Afrika wanazo changamoto zinazotofautiana.Lakini ueleze kwamba huyo Magu alikuwa bora,hapana.
 
Back
Top Bottom