Utawajua tu ni wa wapi

Utawajua tu ni wa wapi

images
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji144]
 
mnyakyusa huyo
Wanyakyusa na ugali wapi na wapi!? Labda wale wa Kyela kwenye ukame, ukizingatia wa Kyela si wanyakyusa kiviiile bali mixer ya wandali na wanyasa. Wanyakyusa halisi ni wa Rungwe na Busokelo kwenye mvua nyingi na baridi kali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom