Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,006
- 2,041
Hawa ni watu ambao kwenye utoto wao hawakuwa na watu waliowajali hivyo walijifunza drama ili kuwateka watu wawajali
Huwa hawana chochote kinachoweza kuwafanya watu wawajali na kuwafuatilia zaidi ya drama zao.
Hawa huwa wazuri sana kwenye kutengeneza mambo na kuigiza kwa namna ambayo wataonekana wanaonewa na wanahakikisha wanategeneza huruma.
Hakikisha unasi maana kujinasua ni ngumu ukitaka kujinasua wanakufanya ujione unahatia
Utawajua kwa mapito yao ya nyuma.