MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,581
- 11,799
Honestly mimi ni mchoyo na kitu ambacho sitakagi kusikia eti ukweni wanashida, mimi ndio nijitolee wakati wanavijana wakubwa, wana ndugu
Ni mahari mkuu
😀Honestly mimi ni mchoyo na kitu ambacho sitakagi kusikia eti ukweni wanashida, mimi ndio nijitolee wakati wanavijana wakubwa, wana ndugu
Tuache siasa, walipokuwa wananipangia mahari hawakujua tunaenda kuwa mwili mmoja?Kwa kuwa wewe na mke wako ni mwili mmoja, wewe nawe ni mmoja wa watoto wao wa kiume.