Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Nisawa nitapanda na round inayofuata apande yeye. Kugawana majukumu.
Na hakuna kulalama ha ha haa mwenzio analalamika mwili unamuuma kama katoka shamba.

Kukaa pale juu ukishughulika sio kazi ndogo wanasema ulemshindo unakilomota kadhaa
 
Wanaleta uboss mpaka kitandani. Kwanza mwanaume anaetaka apandiwe juu mara nyingi anakuaga mvivu
Hao ni maboss kwelikweli mbona hata ukiwa chini inatakiwa upeleke mashine juu?

Labda wana vitambi hao wavivu
 
Mpaka Dunia hii itaisha haitokuja kutokea hata siku moja mwanamke akaridhika NEVER...!! Mwanamke hata upewe gunia la almas au dhahabu utatamani beseni la pemba (udongo flani wanaopenda kula wajawazito) USHAHIDI wa hayo angalia Mungu kawapa nywele nzuuuri za kupendeza hamridhiki nazo mawigi yenye harufu za ajabu, Mara mnaweka nywele za marehemu huko ulaya mnaita rasta mmepewa ngozi safi nyeusi ya asili hamridhiki nayo mnajichubua kwa madawa na sindano...!! Yaani jamaa ahangaike kutwa kutafuta hela alafu usiku ahangaik tena kukuridhisha wewe???? NYIE WATU C BURE MNA TATIZO..
Mturidhishe bhana acheni kuandika magazeti marefu.
 
Hii haileti maana ya mapenzi na kuvumilana.
Mwanaume huumizwa zaidi na matunzo ampayo mpezi wake ikiwa hivyo mtatufanya tusiwatunze badalayake tuwatumie tu baaas
Kumbe etii basi mtutunze tuu kimwili na kihisia
 
Na umri wote huu, bado sijaelewa wanawake wanataka nini hasa[emoji22][emoji22]

Kuwa na pesa usifiwe kitambi; zikose utukaniwe kitambi.
mengi ya kusema ila mwanamke, daah........
 
Hellow !!!
Hivi wanaume wenye hela mna nini lakini?
Mnapenda kulala kama gogo mwanamke ndiyo ajishughulishe yeye tuu. Kwani nyie hamuwezi kujituma? (Kwenye mapenzi)
Msituchoshe bhana.. Yaani mtu ukiwa na mwanaume wako unachoka kama vile umetoka kulima kwa kujituma tuu, kila saa utasikia baby panda juu [emoji57] [emoji57] na kuanza mpaka sisi tuanze kuwagusa gusa, kuandaa mwanamke hata hadi alainike huo muda hamna mnaamini pesa ni kila kitu.

Kuna msemo "mwanamke nampa kila kitu lakini haridhiki, nimemnunulia nyumba , gari nk lakini bado anacheat" lazima tucheat maana hamturidhishi kimapenzi.

Na wakati nikienda kwa asiye na hela, napata mapenzi kama yotee!! Tangu kufika mtu yupo bize na mimi tuu, ashike hapa ashike kule, aniimbie imbiee hadi raha. Kwa nini nisicheat?

Wanaume wenye kuamini hela zenu ndiyo mapenzi endeleeni. Msiwaridhishe wapenzi wenu nyie wanunulieni magari tuu na nyumba.

Pooovu kama lote !! Ila sijamlenga yeyote humu.
Siku njema.
Fursa hii ngoja niiwahi
 
Na hakuna kulalama ha ha haa mwenzio analalamika mwili unamuuma kama katoka shamba.

Kukaa pale juu ukishughulika sio kazi ndogo wanasema ulemshindo unakilomota kadhaa
[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom