Utatoka na nani wa JF?

Tunaopitaga kimyakimya humu naona hatuna soko...Na uzee huu ndio kabisa...kumbukeni mababu nao ni watu wanatamani hiyo mitoko
 
Si nasikia eti wa kimya kimya ndio mnaongoza kula totoz humu!
Huo ndio ukweli, hawa jamaa wao ni mwendo wa pm huko, wanaibua na kuwekana tu.

Mkuu kwani wewe unatoka na nani, najua mambo ya carbon copy yameisha ila haimaanishi kila kitu kimeisha😁
 
Huo ndio ukweli, hawa jamaa wao ni mwendo wa pm huko, wanaibua na kuwekana tu.

Mkuu kwani wewe unatoka na nani, najua mambo ya carbon copy yameisha ila haimaanishi kila kitu kimeisha😁
Mie yeyote atakaye nionea huruma Tu....mzigo wa kwenda popote upo...Ila nijue mapema ili nijue namuaga vipi Bibie hapa maskani
 
Yeyote atakaye kuwa tayari kufanyiwa kufunguliwa nitatoka naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…