Shemeji usimfanyie hivyo mdago wangu, atajisikia vibaya.Wifi bahati mbaya Sina komwe nilipishana nalo,
Ngoja niwaache na familia yenu๐
Siwezi pangwa kama behewa za SGR
Mie ni zilipendwa, zinazopendwa na zitakazoendelea kupendwa. Nipo sanaaaa๐๐๐wewe zilipendwa ๐ ๐ ๐ ndio nakuibia siri, ๐๐๐
Hahaa mwalimu kufuatwa mmh nisije rudi na mapacha bure๐Mwanafunzi mjeuri ๐๐ usie taka mfata mwalimu kwake
I love youโคMie ni zilipendwa, zinazopendwa na zitakazoendelea kupendwa. Nipo sanaaaa๐๐๐
๐ ๐ ๐ ๐ jipe nguvu na tumaini.. Brazilian nime mtonya kasema kuanzia kesho asione pua yakoMie ni zilipendwa, zinazopendwa na zitakazoendelea kupendwa. Nipo sanaaaa๐๐๐
๐ ๐ ๐ mie sina mambo hayo kabisa , labda unifundisheHahaa mwalimu kufuatwa mmh nisije rudi na mapacha bure๐
Hebu twende taratibu wifi yangu. Yule atakuwa ni yule mfanyakazi mwenzie.Wifi bahati mbaya Sina komwe nilipishana nalo,
Ngoja niwaache na familia yenu๐
Siwezi pangwa kama behewa za SGR
Kistaa sana mwanawane na ingenoga ungemalizia kabisa na mtoto Romy Indy ๐คฃ๐คฃ๐คฃNatundika daruga kistaa๐ ๐
And i love you more๐I love youโค
Mamaaaaaa ERoni .. nime kumiss ๐ ๐ .. kuna mtu anataka kuharibu penzi lako shangazi๐๐๐ Ila aunt
๐๐๐๐๐๐ ๐ ๐ ๐ jipe nguvu na tumaini.. Brazilian nime mtonya kasema kuanzia kesho asione pua yako
Mwalimu ufundishwe na mwanafunzi? Hahaa๐ ๐ ๐ mie sina mambo hayo kabisa , labda unifundishe
Binti kuna habari nazisikia sizielewi elewi. Unajiamini nini?๐๐๐ Ila aunt
Habari Gani Tena hizo?Binti kuna habari nazisikia sizielewi elewi. Unajiamini nini?