Mambo hayooooo
Sinaa shougaaangu nipo nimezubaa tyu![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna booking km mie shougaaaaaa?? Hebu tufanyee tukasafishee nyotaaaa mwayaaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
πππwitty acha masihara basi!!
Dada sijapata nguo ya sikukuuπAmesikia wito anakujaaa
Msisahau makadirio yenu ya kujifungua yatakuwa September 2023 πππnipo nimekaa pale
Una bosi najua atasababishaaaπππ!Dada sijapata nguo ya sikukuuπ
Kwakweli nashukuru Kwa ilo maana nilikuwa nasubiri wasiotakiwa niwaalike waje niwapikie ugali na dagaa X mas wapunguze majonzi ππππUna bosi najua atasababishaaaπππ!
Umetisha!! Ugali dagaa nukseee ππππKwakweli nashukuru Kwa ilo maana nilikuwa nasubiri wasiotakiwa niwaalike waje niwapikie ugali na dagaa X mas wapunguze majonzi ππππ
ππHauna mbambambaUmetisha!! Ugali dagaa nukseee ππππ
kabesaaaaaaa..unavojua madikodikoo wataenjoyyyyyyy kinoma noma!ππHauna mbambamba
Hapana shemeji, mim hapana nilichoma chanjo.ngoja Covid irudi ndio utatambua umuhimu wangu...nafaa kwa matumizi ya binadamu π π π π π
Jana nilikutana na mjaa mmpja hoi na hiyo makitu pamoja na chanjo...usitupe mbachao kwa msala upitao π π π π π πHapana shemeji, mim hapana nilichoma chanjo.
π€£π€£π€£Hayo makitu nlishuhudia rfk angu mtoto wa kishua anatapika damu, peleka hosi hakua na shida yyte. Jamaa alidead aiseh bado mdg sanaJana nilikutana na mjaa mmpja hoi na hiyo makitu pamoja na chanjo...usitupe mbachao kwa msala upitao π π π π π π
Depal utanikubalia utoke na mimi?
Sifa zangu:
1)Mrefu wa 6'2
2)Mwembamba na mweusi kiasi
3)Nikicheka/nkitabasamu masikio, meno na sura Yangu nafanana na barak obama au pele
4)Sina hela.
Equation x naomba ukuye unibembelezee depal asinikimbie..
Ona sasa[emoji16][emoji16][emoji16]witty acha masihara basi!!