MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,493
- 8,728
Hii picha imepigwa kutoka Amboseli Kenya na ni View pekee unayo weza piga hizo picha. kwa Upande wa Tanzania hakuna hiyo view na hii ni sababu ya Wazungu kuamini Mlima Kilimanjaro uko Kenya.
Picha halisi ya Kutokea Tanzania ni ile inayo onyesha Migomba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha halisi ya Kutokea Tanzania ni ile inayo onyesha Migomba.
Sent using Jamii Forums mobile app