Viongozi wa Simba tunawaomba, Kupeleka jezi mlima Kilimanjaro isiwe kwa sababu ya kutangaza utalii

PSEUDOPODIA

JF-Expert Member
Aug 9, 2020
376
735
Tunaomba mkome, mkome tena mkomae! Hatutaki kusikia Simba inatumika kutangaza utalii!

Kama ni sababu ya kupeleka jezi mlima Kilimanjaro basi iwe ni ili Africa nzima waione, sababu mlima Kilimanjaro upo juu zaidi Africa nzima!

Pia tunaomba, tukishiriki mashindano ya CAF lile neno Visit Tanzania life! Ni bora pabaki plain kama hatuna cha kuweka!

Kama wanataka waingie mkataba tuwatangazie utalii wao!

Acheni kujipendekeza, mnaojipendekeza kwao wala hawawaoni!
 
Hivi ni vichekesho sasa, hiyo jezi hata aliyepo Moshi mjini hawezi kuiona huko mlimani ndio sembuse Africa nzima.

Hizi club za kariakoo zimeshaanza kuharibu watu kama zilivyofanikiwa dini za Ukristo na uislamu kuwafanya watu kuwa mazezeta.

Muwe mnatumia akili zenu siyo kumezeshwa kila ujinga.
 
Mkuu unajua maana ya ishara! Hata mwenge wa uhuru uliwekwa kileleni mwa mlima Kilimanjaro ili kuangaza Tanzania nzima, jee ni kweli umeangaza! Huko sengerema kwenu mmeuona huo mwanga! Acha udaku basi!
 
Makolo kwa mbwembwe, kwa hiyo mkiipeleka kule juu kabisa Afrika yote tutaomba matambara yenu?

Kweli makolo hamuishi vituko.
 
Back
Top Bottom