Utata wa kutumia picha ya Mlima Kilimanjaro ikiwa inawaonyesha Tembo.

Hao tembo wapo kwenye hifadhi ya Kilimanjaro . sina uhakika view Pekee ya Kilimanjaro kw upande wa Tanzania migomba inaonekana. Migomba ni view ya karibu na mlima . Ukiwa maeneo ya West Kilimanjaro au siha ilipo mbuga hio view ya kwenye picha ya tembo unaipata
 
Hao tembo wapo kwenye hifadhi ya Kilimanjaro . sina uhakika view Pekee ya Kilimanjaro kw upande wa Tanzania migomba inaonekana. Migomba ni view ya karibu na mlima . Ukiwa maeneo ya West Kilimanjaro au siha ilipo mbuga hio view ya kwenye picha ya tembo unaipata
Kama ishu ni migomba wachukue hata wakisema ile iliyo ota tukuyu ni yao napo freshi, ila kuushobokea mlima wa pili kidunia utasababisha vita ya tatu kidunia

Sent using unknown device
 
Picha yenye Tembo imechorwa na hiyo yenye migomba imepigwa kwa kamera.huwezi kuona tofauti?
Kama issue ni tembo si wanachorwa tu, kwani hakuna picha ya mlima Kilimanjaro una twiga na hilo anasemaje, swala la msingi huo mlima upo wapi Kenya, Uganda au Tanzania.
Tujiamini na kuutangaza mlima wetu.
 
Hii picha imepigwa kutoka Amboseli Kenya na ni View pekee unayo weza piga hizo picha. kwa Upande wa Tanzania hakuna hiyo view na hii ni sababu ya Wazungu kuamini Mlima Kilimanjaro uko Kenya.

Picha halisi ya Kutokea Tanzania ni ile inayo onyesha Migomba.View attachment 1040372View attachment 1040378
View attachment 1040429
Sent using Jamii Forums mobile app

Kwani mkuu ukipiga picha kwenye mbuga ya taifa ya Kilimanjaro (Kilimanjaro National Park) haitokei hiyo taswira ? Maana nayo ni mbuga ya wanyama.....Nauliza TU
 
Mlima Kilimajaro hauna theluji upande wa Kenya. Hiyo picha yenye tembo ni eneo la Kilimanjaro National Park na hiyo yenye migomba ni muonekano wa mlima Kilimanjaro ukiwa maeneo ys Kibosho Kirima.
Kama hii iliyopigwa Kirima Juu karibu na Nkoring'a.TTACH=full]1040463[/ATTACH]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Attachments

  • IMG-20190114-WA0008.jpeg
    IMG-20190114-WA0008.jpeg
    28.9 KB · Views: 25
Naamini hujamuelewa mtoa mada.umefikiria juu ya madhara ya hizo tofauti ya picha katika utalii?umeelewa kwanini anasema "na hii ndo sababu wazungu wengi Wana amini mlima Kilimanjaro upo Kenya?.Au ligi tu?
Huo mlima uko wapi?
 
Mkuu, hao wanyama wamo ndani ya Mbuga ya Amboseli, ambayo iko Kenya, au eneo hilo waliomo hao wanyama nalo liko upande wa Tanzania?

Kama Kenya wanaweza kutumia picha hiyo ikiwa na eneo la mlima ambao uko Tanzania, ni halali pia kwa Tanzania kutumia picha ya eneo hilo la Amboseli, ambalo liko Kenya, huku ikijumuisha mlima ambao upo Tanzania.

Wakitaka kuweka ngumu, mlima uondolewe kwenye picha, wabaki wanyama wakiwa kwenye mbuga yao ya Amboseli.

Sijui kama tumeelewana!
 
Kama hio art ukiitazama kwa jicho la sanaa utaelewa mtoa mada anachoongea ndio maana art gallery sio kila mtu anaangalia kama mpira maana kwenye sanaa kuna kitu msanii anataka ukione and beyond
Ndio maana in a critical thinking unaweza kuona kufeli kwa msanii au mteja alienunua hio kaz ya sanaa
 
Back
Top Bottom