SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,760
Tuliza kishundu dada mdogo hizi siyo pande zakoMwanaume gani lioga hivyo, unajificha kwenye ki-itel hicho
Tuliza kishundu dada mdogo hizi siyo pande zakoMwanaume gani lioga hivyo, unajificha kwenye ki-itel hicho
Lugha ya kistaarabu ni ipi...?Gwajima atumie lugha ya busara wakati wa kupinga chanjpo kuliko tuhuma za watu kughushi chanjo na kuwatisha watakufa kwa vile wanahamasisha chanjo.
Kimsingi Gwajima ana hoja nzuri na inayohitaji majibu makini ya kisayansi na siyo kejeli kama alivyo jibu Waziri Gwajima, na wala siyo majibu mepesi kama ya bosi wa waziri kwamba "chanjo tumeanza kuchanja toka tukiwa watoto kama za ndui, BCG.." .
Hizo chanjo nyingine zimechukua muda mrefu na takwimu za kutosha kuthibitisha ubora na usalama wake kwa watumiaji.
Pia hizo chanjo zimekuwa zikizuia kweli magonjwa husika yasiuwe au yasidhuru watumiaji wake, mambo ambayo chanjo za COVID19 zimeshindwa kufikia vigezo hivi.
Za COVID19 hazizuii maambukizo na vifo, bado hatujui madhara yake baada ya muda mrefu.