Utata usioisha na aliyekuwa rafiki yangu!!!

Utata usioisha na aliyekuwa rafiki yangu!!!

livewise1

Usije ukafanya hivi kwa msichana mwingine. Wanawake wengi wako hivi,wanapenda kushobokea marafiki wa mabwana zao. Sasa ukiendelea na utaratibu huo utakosana na marafiki zako wote.

Jambo unalopaswa kufanya ni kufanya kikao na bidada. Mwambie na umkumbushe umuhimu wa kutulia na mtu wake. Mwambie namna unamheshimu yeye binti na namna unamheshimu rafiki yako ambaye ni bwana wake. Usitarajie akuelewe papo kwa papo, uhakika ni kwamba baada ya miaka miwili ama mitatu atakuja kukushukuru. Na utakuwa na Amani sana na hutopoteza marafiki.

Kumbuka, hakuna mwanaume anafurahi kuambiwa ama kuona mpenzi wake ni kicheche. Hiyo inaumiza sana kibri ya mwanaume yeyote.
 
Noted mkuu

Nashukuru mkuu.
Good kijana.. ulimwengu huu umebaki na watu wachache wenye uwezo wa kukwepa mitego ya shetani. Jambo zuri zaidi ambalo ulipaswa kulifanya ni kumsaidia yule binti kwa kumweleza hekima chache juu ya maisha na kujithamini kwani hatoupata ujumbe huu na sii angalabu anaendelea na maisha kama hayo. Kuhusu rafiki yako hilo sio tatizo kubwa as wewe ulijitaidi kumrevusha ila yeye akatumia akili yake ndogo kukudhania vibaya. Nahisi alibaki na lile la (mume pacha).
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilikutana nae njiani nikataka kumsalimia akakwepaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Form four akapata two me nkapata one hapo ndo ikawa jumlaa... Sema me sijalii na si ifadhi chuki kamwee mkuu..!!
No, itakuwa wewe ulikuwa unamchukia ile chuki kai- multiply. Mtu anakuwa wa kwanza akuchukie wewe wa pili kwa lipi? Mfano mimi shule ya msingi kuna vivulana vilikuwa vinanichukia halafu nilikuwa navipita mbali hata vingekesha vinasoma visingeweza kunifikia ila vina chuki balaa kila kukicha vinanitengenezea mazengwe navichukia mpaka keshokutwa, hata nikikutana navyo barabarani vipite kama havinijui
 
Wakuu habari za saizi!!
Poleni kwa majukumu kwa wenye nayo kama mimi, wengine hongereni kwa bata.

■ Kuna jambo limeishi miaka mingi sana {niseme mpaka sasa hivi}
● Nikiwa O'level mkoa mmoja hivi nilikuwa na rafiki yangu ambaye tulishirikiana kwa masomo na pia tulikuwa tunaenda mishe mishe pamoja (ikiwemo kusakata kabumbu)
● Tulipofika kidato cha tatu rafiki yangu alipata rafiki wa kike (baadae wakawa wapenzi) na huyo binti alikuwa yupo shule jirani kabisa ya binafsi (private school)
● Kwenye hiyo shule ya binafsi kaka yangu alikuwa anafundisha na alikuwa ananichukua kwenda kufanya mitihani na majaribio ya kila wiki waliyokuwa wanafanya wanafunzi wao.
● Mimi nilikuwa na pen pal pale kama wawili hivi lakini wao walikuwa wapo kidato cha nne, kwa hiyo nikimaliza paper tunakutana japo dakika tano kwenye ofisi ya kaka yangu.
● Kuna siku rafiki yangu akaniambia ana mpenzi kwenye ile shule namimi nikamwambia pale nina marafiki wawili kwa hiyo akajiunga nae tukawa tunaenda kupiga paper pamoja kwa idhini ya bro.
● Siku ya kwanza akanitambulisha kwa shemeji tukasalimiana na nikawa nawahi kuonana na mabest zangu tupige stori kidogo.
● Juma tatu tukiwa shuleni rafiki yangu akaniambia ebana shemeji yako anataka namba yako ha simu....mi nikamwambia usimpe, jamaa akanambia itakuwa sio fresh na haileti picha nzuri nisipompa namba yako bana maana anajua sisi ni marafiki.
● Tukazozana pale lakini jamaa akamtumia demu wake namba hangu ya celtel, sijui kwa nini sikutaka ampe namba ila tu nilikuwa naona sio ishu.
※ Usiku nikiwa najisomea sms zikaingia mbili, namba ngeni...za salamu na kunilaumu kwamba kwa nini sikupenda nitoe namba kwake (nikajua tu huyu ni shemeji)
※ Nikamtumia sms kuwa mi huwa sikai sana na simu na nawasiliana mara chache sana na watu muhimu kwa sababu simu zinapoteza mda sana wa kusoma.
※ Nikajibiwa acha ushamba shem...mi napenda tuwasiliane (kichwani nikasema mmmh huyu badala awasiliane na mtu wake....) tunataka kupotezeana mda.
♢ Kuanzia siku hiyo nikawa nakuta sms na missed call kibao nika notice hata maneno anayotumia yamebadilika amekuwa kama amenizoea sana. Mfano alianza kuniita (mume pacha) badala ya shem...akini keep bize mda mwingi kuchati na kuongea usiku.
♢ Siku moja rafiki yangu akanilalamikia kwa kusema [ Asee shem wako siku hizi yupo bize sana hata mawasiliano hafifu ] nikastuka nikamwambia sio kweli, hayupo bize yulee.
♢ Jamaa akakazia kana kwamba ana uhakika...mi nikamwambia ngoja tuchunguze kama kweli yupo bize..akasema powa.
♢ Usiku akanitafta swali la kwanza nikamuuliza "UNAWASILIANA NA JAMAA YAKO?" akajibu ndio nimetoka kuwasiliana nae mda si mrefu kama dakika 5 tu.
● Nikaona hapaaa kuna namna nikamwambia subiri kidogo nitakupigia akakata simu. Nikampigia rafiki yangu nikamuuliza akasema hajaongea nae ana siku 5 ....nikamwambia ukweli kuwa binti anaongopa awe makinj nae.
● Jamaa akanipa wazo tumpigie halafu tuweke conference call amskie....nikampigie na yule binti akapokea mi chap nikaunganisha tukawa wote online bila ya binti kujua.
● Sasa bahati mbaya akaniita jina lileee..."nambie mume pachaa" nikamwambia kwa nini unaniita hivo na sio shem...akacheka kisha akasema ni sawa tu yote majina.
● Nikamuuliza kwa nini unadanganya umewasiliana na jamaa kumbe hujawasiana nae??? Mi nimempigia ameniambia siku 5 hujawasiliana nae kwa nini?!?!
■ " asalaaaaale...alichojibu...eti achana na yule mshamba unajua shem mi nakufagilia wewe yaani una mapigo mazuri upo cool yaani kiufupi natamani nipate nafasi ya kuwa wako"
■ Jamaa uvumilivu ukamshinda akaita jina la binti weee lily...yaani unanizungukaa ( yule binti akakata simu)
■ Nikamwambia jamaa umejionea huyu dem sio atatugombanisha bure...JAMAA KWA SAUTI YA UNYOOONGEÈE AKANIAMBIA , MAN WE MCHUKUE TU.
♡ Baada ya pale niliuwa mawasiliano na yule binti na kumwambia aachane na sisi tena hata zile sms jamaa aliziona kwenye simu yangu kesho yake asubuhi.
■ Jamaa nikamwambia yule binti ni kigeugeu akija mtu anabeba ...jamaa hakujibu chochote. ..kuanzia hapo mawasiliano baina yangu na Rafiki yangu yakaanza kupungua na akawa akinikuta sehemu anaweza akapita bila kunisemesha.
■ Ile kitu iliniuma sana ila kuna baadhi ya washikaji pale class waliusoma mchezo wakaniuliza mi sikuwajibu pale pale...nikasubiri tuwe wote na jamaa ndio tuongee pamoja.
■ Mda wa kuondoka shule jamaa tukamuona nikamwita hakuitika....kuna jamaa akamuendea na kumlazimisha aje...mi nikasimulia kila kitu naye yupo pale ...washikaji wakamkanya asivunje urafiki kisa manzi asiejielewa.
■ Jamaa akaondoka bila kusema kitu, ila mpaka tunamaliza shule jamaa hakutaka hata kushea group la discussion mi nikasema poa tu maana sina nilichokosea.
■ JAMAA ALIKAZA MPAKA LEO HII HATA KWENYE GROUP LA WASAP LA WALIOMALIZA SHULE MWAKA WETU HUWA HAZIIVI.
□ WATU WAMEMCHANA SANA ILA HAJABADILIKA.
□ JE, HUU NI UUNGWANA?! (MAANA KUNA LEO NA KESHO UKITAZAMA KWA UMBALI ZAIDI)
Ni PM namba ya huyo demu nimgegede, inaelekea ana huruma sana
 
No, itakuwa wewe ulikuwa unamchukia ile chuki kai- multiply. Mtu anakuwa wa kwanza akuchukie wewe wa pili kwa lipi? Mfano mimi shule ya msingi kuna vivulana vilikuwa vinanichukia halafu nilikuwa navipita mbali hata vingekesha vinasoma visingeweza kunifikia ila vina chuki balaa kila kukicha vinanitengenezea mazengwe navichukia mpaka keshokutwa, hata nikikutana navyo barabarani vipite kama havinijui
Sasa ndo ujiulize why anichukie wakati yeye kaanza kuwa wa kwanza darasa la sita...me toka la kwanza naenda moja narudi mbili mpaka tatu...!! yeye aliingia hizo position la sita akajenga na chuki afu me nlikuwa sinaga hizo mtu wa wana...
 
Wewe hukuweka maelezo vizuri maana mwanzo umesema alikuwa anakuwa wa kwanza
 
Action and reaction law.
Hahah...walianza we ukamaliza.
No, itakuwa wewe ulikuwa unamchukia ile chuki kai- multiply. Mtu anakuwa wa kwanza akuchukie wewe wa pili kwa lipi? Mfano mimi shule ya msingi kuna vivulana vilikuwa vinanichukia halafu nilikuwa navipita mbali hata vingekesha vinasoma visingeweza kunifikia ila vina chuki balaa kila kukicha vinanitengenezea mazengwe navichukia mpaka keshokutwa, hata nikikutana navyo barabarani vipite kama havinijui
 
No, itakuwa wewe ulikuwa unamchukia ile chuki kai- multiply. Mtu anakuwa wa kwanza akuchukie wewe wa pili kwa lipi? Mfano mimi shule ya msingi kuna vivulana vilikuwa vinanichukia halafu nilikuwa navipita mbali hata vingekesha vinasoma visingeweza kunifikia ila vina chuki balaa kila kukicha vinanitengenezea mazengwe navichukia mpaka keshokutwa, hata nikikutana navyo barabarani vipite kama havinijui
Moyo unaoshwa na msamaha dada akee.. tumia hiyo sabuni kwao na wengine uachie msamaha kwani kovu la moyoni linapunguza furaha na utamu wa maisha sasa na kesho..[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Haijanipunguzia furaha hata kidogo, nina maisha yangu nao wanayo ya kwao. Walikuwa wapuuzi sana sema yule kinara wao familia zetu zilikuwa na ukaribu kwa hiyo nilikuwa naogopa nikimsemea inaweza kuathiri hata mahusiano ya wazazi....juzi hapa nilimsimulia sister waliyokuwa wananifanyia aisee alishangaa sana akauliza kwa nini ulikuwa husemi??
Moyo unaoshwa na msamaha dada akee.. tumia hiyo sabuni kwao na wengine uachie msamaha kwani kovu la moyoni linapunguza furaha na utamu wa maisha sasa na kesho..[emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Huyo jamaa kweli ni mshamba. Sasa ukweli wote anaujua. Anakuchukia kwa sababu ya mpuuzi mmoja tu.

Mimi rafiki yangu kwangu ni kama ndugu. Huwezi vunja undugu kwa sababu ya mtu mwingine mliyekutana juu kwaju.
 
Muite huyo rafiki yako na umwambie kuwa ulifanya vile kwakuwa unampenda na hukupenda kumzunguka hivyo kama amekukasirikia hafanyi fair. Then mwambie we uko peace tu! [emoji106][emoji106][emoji106]
 
HIVI ENZI ZA CELTEL WANAFUNZI WALIKUA WANAMILIKI SIMU KWELI? HONGERA INAONESHA MLIKUA MNATOKA FAMILIA BORA.
ILA ILIKUA NI UCHONGANISHI MBAYA SANA KUONGEA NA MTU UKU HAJUI KAMA KUNA MTU WAKE WA KARIBU ANAMSIKILIZA, LAZIMA TU KUNGETOKEA UHASAMA KATI YENU.
 
Back
Top Bottom