ingekua ni hivo bas ata historia ya olevel isingekuepo. rekebisha sentence [emoji16]Jifunze kubalance shobo, sasa ilikuaje umwambie mambo mnayoongea na demu wake?
Huo ndo ushujaaa...!! Lakini kama ungekuwa na Hekima ungeacha kuwasiliana na huyo demu tu...usingejibu txt wala call zake hukuwa na haja ya kumuonesha jamaa kuwa demu anakutaka..!! Upuuzi uliofanya aliwahi fanya rafiki yangu nae waliishia kutokuongea na jamaa mpaka keshoo...
Achana nae kesho yako anajua Mungu.Alikuwa rafiki ... akauvunja ... hakuna anaejua kesho yake ...yanini kubaki na kinyongo?!
Kichaa anamuona mwenye akili ni kichaa...najua lengo langu ilikuwa kumuepusha rafiki yangu janga.Naunga mkono hoja...
Hawa jamaa wote washamba ndio maana wamemshindwa huyo demu wote wamemkosa na wameishia kugombana wenyew kwa wenyew...
Mtoa post sasa hapo umeepusha nn? We ungejipigia zako kimya kmya uzwazwa wako umekuponza
Huwezi elewana na kila mmoja.Hela sio kila kitu.Nitafte mara ngapi?!
Sasa hapo jamaa angekasirika sababu demu kazusha na yeye ndo angekuwa mpuuzi na huyo demu labda kama ungemtamkia wazi humpendi angeona sasa akukomoe...Ila ungempotezeaa nae angechoka kukutafuta either angetafuta mwana mwingne au vip angejua yeye..!!Utaratibu wa kumuonesha rafiki yako wapi anapopotea ni kawaida tu kama kweli una value urafiki.
Kuliko kumkaushia anaangukia shimoni wakati unaona.
Imagine ningekausha halafu dem akanizushia kwa jamaa yake na mi sijawahi mwambia jamaa ....angenifikiria zaidi ya hapo nilipomueka wazi.
Hahaa...jamaa angeamini anayoambiwa na dem wake.Sasa hapo jamaa angekasirika sababu demu kazusha na yeye ndo angekuwa mpuuzi na huyo demu labda kama ungemtamkia wazi humpendi angeona sasa akukomoe...Ila ungempotezeaa nae angechoka kukutafuta either angetafuta mwana mwingne au vip angejua yeye..!!
Bhasi hilo lingekuwa tatzo lake...!! Ila wewe kumuonesha kuwa demu anakupenda wewe zaidi uliaribu.. Ungemwambia mwana demu ampe proof kuwa wewe unamtaka either msg au barua bhasi.. kama hana jamaa sio mpumbavu kiasi hicho kuamini ujinga kama huoo...Hahaa...jamaa angeamini anayoambiwa na dem wake.
Angeniona mi namzunguka na ningemsimulia kama dem wake ndio alijipendekeza angeona kwa nn sikumwambia!!? Kama alishindwa kuelewa hii tena mpaka na washikaji wakaingilia kati lakin wapi hiyo ya kukausha ndio kabisaaa navohisi
Unasema O Level mkuu????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me kuna jamaa angu alikuwa anakuwa wa kwanza me nakuwa wa pili so jamaa alijengaga bifu toka primary enzi hizo hadi keshoo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Ni kweli mkuu.
Kiume ume nashindwa kujua huyu jamaa mambo ya O'level mpaka ukibwani kayabeba inakuwaje?!
A wise man once said, man should avoid two types of people. The one who don't need him and the one he don't need.
Huyo jamaa umeshaona hakuhitaji sasa we unahangaika naye ili iweje.?
Unasema O Level mkuu????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me kuna jamaa angu alikuwa anakuwa wa kwanza me nakuwa wa pili so jamaa alijengaga bifu toka primary enzi hizo hadi keshoo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]