Utata usioisha na aliyekuwa rafiki yangu!!!

Jifunze Ku-Balance shobo!ova
Wakuu habari za saizi!!
Poleni kwa majukumu kwa wenye nayo kama mimi, wengine hongereni kwa bata.

■ Kuna jambo limeishi miaka mingi sana {niseme mpaka sasa hivi}
● Nikiwa O'level mkoa mmoja hivi nilikuwa na rafiki yangu ambaye tulishirikiana kwa masomo na pia tulikuwa tunaenda mishe mishe pamoja (ikiwemo kusakata kabumbu)
● Tulipofika kidato cha tatu rafiki yangu alipata rafiki wa kike (baadae wakawa wapenzi) na huyo binti alikuwa yupo shule jirani kabisa ya binafsi (private school)
● Kwenye hiyo shule ya binafsi kaka yangu alikuwa anafundisha na alikuwa ananichukua kwenda kufanya mitihani na majaribio ya kila wiki waliyokuwa wanafanya wanafunzi wao.
● Mimi nilikuwa na pen pal pale kama wawili hivi lakini wao walikuwa wapo kidato cha nne, kwa hiyo nikimaliza paper tunakutana japo dakika tano kwenye ofisi ya kaka yangu.
● Kuna siku rafiki yangu akaniambia ana mpenzi kwenye ile shule namimi nikamwambia pale nina marafiki wawili kwa hiyo akajiunga nae tukawa tunaenda kupiga paper pamoja kwa idhini ya bro.
● Siku ya kwanza akanitambulisha kwa shemeji tukasalimiana na nikawa nawahi kuonana na mabest zangu tupige stori kidogo.
● Juma tatu tukiwa shuleni rafiki yangu akaniambia ebana shemeji yako anataka namba yako ha simu....mi nikamwambia usimpe, jamaa akanambia itakuwa sio fresh na haileti picha nzuri nisipompa namba yako bana maana anajua sisi ni marafiki.
● Tukazozana pale lakini jamaa akamtumia demu wake namba hangu ya celtel, sijui kwa nini sikutaka ampe namba ila tu nilikuwa naona sio ishu.
※ Usiku nikiwa najisomea sms zikaingia mbili, namba ngeni...za salamu na kunilaumu kwamba kwa nini sikupenda nitoe namba kwake (nikajua tu huyu ni shemeji)
※ Nikamtumia sms kuwa mi huwa sikai sana na simu na nawasiliana mara chache sana na watu muhimu kwa sababu simu zinapoteza mda sana wa kusoma.
※ Nikajibiwa acha ushamba shem...mi napenda tuwasiliane (kichwani nikasema mmmh huyu badala awasiliane na mtu wake....) tunataka kupotezeana mda.
♢ Kuanzia siku hiyo nikawa nakuta sms na missed call kibao nika notice hata maneno anayotumia yamebadilika amekuwa kama amenizoea sana. Mfano alianza kuniita (mume pacha) badala ya shem...akini keep bize mda mwingi kuchati na kuongea usiku.
♢ Siku moja rafiki yangu akanilalamikia kwa kusema [ Asee shem wako siku hizi yupo bize sana hata mawasiliano hafifu ] nikastuka nikamwambia sio kweli, hayupo bize yulee.
♢ Jamaa akakazia kana kwamba ana uhakika...mi nikamwambia ngoja tuchunguze kama kweli yupo bize..akasema powa.
♢ Usiku akanitafta swali la kwanza nikamuuliza "UNAWASILIANA NA JAMAA YAKO?" akajibu ndio nimetoka kuwasiliana nae mda si mrefu kama dakika 5 tu.
● Nikaona hapaaa kuna namna nikamwambia subiri kidogo nitakupigia akakata simu. Nikampigia rafiki yangu nikamuuliza akasema hajaongea nae ana siku 5 ....nikamwambia ukweli kuwa binti anaongopa awe makinj nae.
● Jamaa akanipa wazo tumpigie halafu tuweke conference call amskie....nikampigie na yule binti akapokea mi chap nikaunganisha tukawa wote online bila ya binti kujua.
● Sasa bahati mbaya akaniita jina lileee..."nambie mume pachaa" nikamwambia kwa nini unaniita hivo na sio shem...akacheka kisha akasema ni sawa tu yote majina.
● Nikamuuliza kwa nini unadanganya umewasiliana na jamaa kumbe hujawasiana nae??? Mi nimempigia ameniambia siku 5 hujawasiliana nae kwa nini?!?!
■ " asalaaaaale...alichojibu...eti achana na yule mshamba unajua shem mi nakufagilia wewe yaani una mapigo mazuri upo cool yaani kiufupi natamani nipate nafasi ya kuwa wako"
■ Jamaa uvumilivu ukamshinda akaita jina la binti weee lily...yaani unanizungukaa ( yule binti akakata simu)
■ Nikamwambia jamaa umejionea huyu dem sio atatugombanisha bure...JAMAA KWA SAUTI YA UNYOOONGEÈE AKANIAMBIA , MAN WE MCHUKUE TU.
♡ Baada ya pale niliuwa mawasiliano na yule binti na kumwambia aachane na sisi tena hata zile sms jamaa aliziona kwenye simu yangu kesho yake asubuhi.
■ Jamaa nikamwambia yule binti ni kigeugeu akija mtu anabeba ...jamaa hakujibu chochote. ..kuanzia hapo mawasiliano baina yangu na Rafiki yangu yakaanza kupungua na akawa akinikuta sehemu anaweza akapita bila kunisemesha.
■ Ile kitu iliniuma sana ila kuna baadhi ya washikaji pale class waliusoma mchezo wakaniuliza mi sikuwajibu pale pale...nikasubiri tuwe wote na jamaa ndio tuongee pamoja.
■ Mda wa kuondoka shule jamaa tukamuona nikamwita hakuitika....kuna jamaa akamuendea na kumlazimisha aje...mi nikasimulia kila kitu naye yupo pale ...washikaji wakamkanya asivunje urafiki kisa manzi asiejielewa.
■ Jamaa akaondoka bila kusema kitu, ila mpaka tunamaliza shule jamaa hakutaka hata kushea group la discussion mi nikasema poa tu maana sina nilichokosea.
■ JAMAA ALIKAZA MPAKA LEO HII HATA KWENYE GROUP LA WASAP LA WALIOMALIZA SHULE MWAKA WETU HUWA HAZIIVI.
□ WATU WAMEMCHANA SANA ILA HAJABADILIKA.
□ JE, HUU NI UUNGWANA?! (MAANA KUNA LEO NA KESHO UKITAZAMA KWA UMBALI ZAIDI)
 
Mkuu, tatizo lake sio wewe kumchukulia mpenzi wake, bali yeye kudhalilishwa vile LIVE mbele yako na demu! Hadi leo anajiuliza anamapungufu gani? Pia anajiuliza wewe umemzidi nini?

Kiufupi kuna kiuhasama flani lazima kimwingie mtu automatically kutokana na mambo niliyogusia hapo juu! Wewe mchukulie kama alivyo,hatobadilika.
 
Noted mkuu.

Nenda kampigie magoti sasa. Si tunakupa ushauri badala uongee vizuri unaanza kuponda hata ushauri. We inaonekana kivuruge tu hushauriki.

Nenda kambembeleze kidume mwenzio.
Angekuwa hanihitaji kuna mambo anawaagiza washikaji kwangu ila ishu ikishapita jamaa wananiambia kuwa ilikuwa yeye...na huyo wise man wako kichaa wanaadam wanategemeana kila uchwao.
Usibebe kila unaloambiwa ni wise ...others are just tasteful in your tongue to speak.
 
Yaani mwanaume mzima unamueka demu conference na jamaa yake ili uthibitishe ujinga kisa tu anapenda kuongea na ewew!!?halafu unakuja kabisa kujisifia eti umefanya Jambo sahihi!!!?haya umekosa demu na rafiki pia.!!!
Kuna vitu sijakuelewa

1.NIA YAKO ILIKUWA WAGOMBANE ILI EWEW UBAKI NA HUYO MVULANA MWENZIO!!?

2.UMEZALIWA HUPENDI TU KUWA NA URAFIKI NA WASICHANA!?(KWAHIYO ULIONA TABU KUENDELEA KUWASILIANA NAE)!?

3.AN MBONA UNATUMIA NGUVU SANA KUTAKA HUYO MVULANA AKUELEWE WAKAT HUJAMKOSEA(ULIEMKOSEA NI HUYO DADA).

4.STORY YAKO INA MASHAKA.KWA SISI TUNAOOONA MBALI.
 
Unasema O Level mkuu????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Me kuna jamaa angu alikuwa anakuwa wa kwanza me nakuwa wa pili so jamaa alijengaga bifu toka primary enzi hizo hadi keshoo[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Inaonekana wewe ndio ulikuwa unamchukia
 
Ni maoni yako...rukhsa kusoma tena uzi kama hukuelewa.
Wengine wameelewa.
Yaani mwanaume mzima unamueka demu conference na jamaa yake ili uthibitishe ujinga kisa tu anapenda kuongea na ewew!!?halafu unakuja kabisa kujisifia eti umefanya Jambo sahihi!!!?haya umekosa demu na rafiki pia.!!!
Kuna vitu sijakuelewa

1.NIA YAKO ILIKUWA WAGOMBANE ILI EWEW UBAKI NA HUYO MVULANA MWENZIO!!?

2.UMEZALIWA HUPENDI TU KUWA NA URAFIKI NA WASICHANA!?(KWAHIYO ULIONA TABU KUENDELEA KUWASILIANA NAE)!?

3.AN MBONA UNATUMIA NGUVU SANA KUTAKA HUYO MVULANA AKUELEWE WAKAT HUJAMKOSEA(ULIEMKOSEA NI HUYO DADA).

4.STORY YAKO INA MASHAKA.KWA SISI TUNAOOONA MBALI.
 
Inaonekana wewe ndio ulikuwa unamchukia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku nilikutana nae njiani nikataka kumsalimia akakwepaa[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] Form four akapata two me nkapata one hapo ndo ikawa jumlaa... Sema me sijalii na si ifadhi chuki kamwee mkuu..!!
 
Good kijana.. ulimwengu huu umebaki na watu wachache wenye uwezo wa kukwepa mitego ya shetani. Jambo zuri zaidi ambalo ulipaswa kulifanya ni kumsaidia yule binti kwa kumweleza hekima chache juu ya maisha na kujithamini kwani hatoupata ujumbe huu na sii angalabu anaendelea na maisha kama hayo. Kuhusu rafiki yako hilo sio tatizo kubwa as wewe ulijitaidi kumrevusha ila yeye akatumia akili yake ndogo kukudhania vibaya. Nahisi alibaki na lile la (mume pacha).
 
Back
Top Bottom