Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Hii habari inanipa ugumu kidogo kutoa Rip,source mwananchi!!la lini? Wakati shigella alipokuwa katibu wa uvccm?mh mh mh ngoja kwanza nijilazimishe kuiamini
 
Huyo mwanamke amekamatwa? Na hilo gari ambalo halikusajiliwa limetolewa maelezo gani na ilikuwa mara ya ngapi kuja na gari lisilosajiliwa? Je,alikutwa na majeraha yoyote au harufu ya pombe ama madawa ya kulevya? Anyway,R.I.P!
 
Inamaana alikuwa ziara ya king'ono kama ndani ya maasa 12 wanawake wawili je angakaa hapo wiki moja.Huyo wa saa tano asubuhi atakuwa ni mke wa mtu ameaga anakwenda kanisani
 
R.I.P kijana, isijekua dhuluma ya madini...maana watu wa madini wanamambo yao kama wauza mihadarati.!
 
Vijana waache kutumia viagra bila vipimo sahihi. Pumzika kwa amani mpendwa wetu ben.

Mbona umetoa conclusion ya ajabu namna hiyo? Una uhakika kuwa alikua viagra?
 
Mary chatanda atawaua wengi sana mwaka huu,
Marehemu alikua kijana mtiifu wa lowasa.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Duh! Hili ni pigo kwa familia yake na Taifa ila hakika kuwachanganya wanawake ni janga sana kwako mwanaume

Mi nitalihusisha tukio hili na mambo ya mapenzi maana ukiangalia umri wa huyu Marehemu ni size yake kujirusha na mademu sasa faida yake ndiyo hiyo.

Alale kwa Amani yake Bwana wetu!
 
Ni kifo cha kusikitisha sana.............................. huyo mwanamke Mariam akipatikana ataelezea vizuri kama alitumwa kumwua kisiasa ama kibiashara, ama kimapenzi au vyote kwa pamoja.
R.I.P. Benson
 
Si unaambiwa mzigo uliingia saa tano asubuhi! Unajua tena vijana siku hizi wanakula chips halafu wanataka kutwa mara tatu kama sisi wazee wa zamani. Jioni una mzigo, usiku mzigo na asubuhi mzigo! Kwa chips mayai lazima utapike nyongo na povu likutoke na utangulie mbele za haki pasipo ridhaa yako.
Mkuu umeisha muhukumu hivyo, labda ukute ni sababu zingine????Vijana kuweni makini na maisha, LIFE IS SO SHORT, kama upepo vile mara umepotea!!!

 
Duh! Hili ni pigo kwa familia yake na Taifa ila hakika kuwachanganya wanawake ni janga sana kwako mwanaume

Mi nitalihusisha tukio hili na mambo ya mapenzi maana ukiangalia umri wa huyu Marehemu ni size yake kujirusha na mademu sasa faida yake ndiyo hiyo.

Alale kwa Amani yake Bwana wetu!

Mkuu sote tunaungana na familia ya marehemu na ccm kuomboleza hiki kifo cha kutatanisha.
Vile vile hakuna binadamu aliyekamilika, ila kusema ni mwanamke bado ni presumption tu, inawezekana ni kibiashara ama kisiasa ndani ya ccm kutoana kafara.
Hapo kwenye Red, Marehemu kisiasa ana miaka 26. Lakini kiuhalisia Benson Mollel hakosi miaka 40+
 
Rip kada wa CCM ! Ben Mollel!.
Whatever the cause of his death, the reasons and the motive behind, kitendo cha roho kuuacha mwili kwa sababu yoyote ile , ni kiashiria kuwa siku yake ilikuwa imefika! na chochote kilichomtokea kilikuwa kitokee ili tuu kwa sababu ni premeditated event.
Bwana Alileta, Bwana Ametwaa, Jina Lake Lihimidiwe!.
Pasco.

Kweli MKUU, zamu yake imefika. RIP
 
uwenda alikuwa na pesa na hao malaya wakampa madawa ya kulevya akapoteza
Na pia matukio ya wafanya biashara ya madini kufia hotel wakiwa na wanawake yamekuwa ni ya kawaida sana hata hv karibun kuna mmasai alifia hotel tena akiwa ameopoa wanawake hivyo hivyo alafu wanawake wakabwaga..cha msingi ni wafanya biashara kujilinda na kuepuka kuchukua wanawake uku wakiwa wamebeba fedha
 
Dah Gamba alikula vidosho mbili ona majina haya Nancy, Mariam.
 
poleni sana wanafamilia na chama chake cha CCM, uchunguzi wa kina ufanyike na taarifa za kina ziwekwe hadharani
 
Back
Top Bottom