Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Utata kigogo UVCCM - akutwa amekufa hotelini Arusha

Mungi ina maana wameshindwa hata kutadhimini umri wa huyu marehemu? Halafu nina hofu ninaweza ikawa namjua nikimwona kwa sura! Ama hebu nifafanulie makazi yake ni wapi.........hakuna ajabu ninaweza ikawa namjua fika!


Mkuu sote tunaungana na familia ya marehemu na ccm kuomboleza hiki kifo cha kutatanisha.
Vile vile hakuna binadamu aliyekamilika, ila kusema ni mwanamke bado ni presumption tu, inawezekana ni kibiashara ama kisiasa ndani ya ccm kutoana kafara.
Hapo kwenye Red, Marehemu kisiasa ana miaka 26. Lakini kiuhalisia Benson Mollel hakosi miaka 40+
 
Last edited by a moderator:
R.I.P. Benson Molel,ni wakati wako tu umefika.
 
Matola hali yoyote ile ya mtu hasa mwanasiasa au mshabiki wa siasa kushadadia kifo cha mpinzani wake, iwe kimetokea kwa namna yoyote ile ni kiashiria kibaya sana kwenye ulingo wa siasa. Hii ina maanisha ukiwa na madaraka ya kutoa Amri ya kuua bila shaka wapinzani wako watauawa huku wewe ukichekelea.

Mtu wa chama chochote kile naye ana UTU unaotakiwa kuheshimiwa!! Halafu hili neno "nyoko" maana yake nini?? JIHESHIMU BWANA!!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu sote tunaungana na familia ya marehemu na ccm kuomboleza hiki kifo cha kutatanisha.
Vile vile hakuna binadamu aliyekamilika, ila kusema ni mwanamke bado ni presumption tu, inawezekana ni kibiashara ama kisiasa ndani ya ccm kutoana kafara.
Hapo kwenye Red, Marehemu kisiasa ana miaka 26. Lakini kiuhalisia Benson Mollel hakosi miaka 40+
Mwenye picha atubandikie hapa tuondoe huu utata......
 
watu wengine bwana...!
hawajari uzito wa kifo. utani, masihara kwao ni kawaida tu..
RIP marehemu.
 
Bado Magulu michembe.., chichiemu kwa Ngono bana ni full matomaaaaambozi
 
Ni kifo cha kusikitisha sana.............................. huyo mwanamke Mariam akipatikana ataelezea vizuri kama alitumwa kumwua kisiasa ama kibiashara, ama kimapenzi au vyote kwa pamoja.
R.I.P. Benson

Wacje wakamchukua chizi au mkenya tena
 
labda makahaba ndoo wlootumika kumuua kwa kumwekea sumu kwenye kinywaji
 
Poleni sana Ritz, Ze marcopolo na chama. Msiba mzito sana kwenu. Mungu amlaze mahali alipo mpangia.
 
Last edited by a moderator:
Mwenye picha atubandikie hapa tuondoe huu utata......
581781_215268948616102_1411517331_n.jpg
 
Vifo vingine!! Unalala na mwanamke anaondoka asubuhi!!! Muda kidogo unaita mwingne!!! Hizo nguvu siku hizi zipo? Ngoja wataalam watuambie kama atapatikana na chembe za polonium au ni mishiapa ilipasuka kwa sababu ya kuzidiwa nguvu na ule mchezo!! Rest in Peace Ben
 
Huyo mwanamke ambaye alikuwa anamsubiria Kwenye chumba cha Hoteli ni mke wake, Hawara Kimada ama ni mtoto wa kike tu kamdanganya huko sa Mziki ukamshinda?
Maana hawa CHICHIEMU wazezid kutuharibia dada zetu sasa vinawatokea Puani, (munakumbuka yule alishikwa ugoni Moro?)
 
Back
Top Bottom