Divine...
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 1,641
- 3,174
Asante.Isaya 62:4 hutaitwa tena aliyeachwa, wala nchi yako haita itwa tena, ukiwa; bali utaitwa HEFSIBA; na nchi yako BEULA kwa kuwa BWANA anakufurahia, na nchi yako itaolewa
Asante.Isaya 62:4 hutaitwa tena aliyeachwa, wala nchi yako haita itwa tena, ukiwa; bali utaitwa HEFSIBA; na nchi yako BEULA kwa kuwa BWANA anakufurahia, na nchi yako itaolewa
iko kwenye youtube.....mazishi ya nabii eliya..
Najiuliza siku dunia ilivyotetemeka mie nilikua dunia gani. maana sijawahi kusikia tetemeko lolote katika maisha yangu
wakikaa kimya si wataambiwa serikali haifanyi kazi, saasa wakifanya kazi watu wanaona kila kitu kibaya ! wow, how great !
Nabii apitabiri nini kutoka kwake Mungu....kwanza alijiita Adam wa pili....hivi unamjua Adam wa pili....
. sawa Mkuu, Kwa inavyoonekana huyu jamaa wa Kigoma alitaka alete wanayodai mafunuo mapya na kuasi mafunuo ya Munuo kwamba watu wao wanaowaita wathabiti( mean kwamba walio na imani kubwa among them) wamekua wakifa ovyo siku hizi.
- Kinachoonekana mama anataka kuzidiwa kete na jamaa.
- Wana ban ya wiki tatu ili wajirekebishe na inavyoonekana kuwa kama zamani ni ngumu sasa.
- Nimesikia makanisa yao yote yamepigwa stop na wizara ya mambo ya ndani.
- Mimi kwa mawazo yangu naona bora hata wafungiwe maana kuna mambo waliokuwa nayo ya kufanya waonekane watu wa ajab.MF. siku moja nilienda kusali kwao nikasikia wanasifu ajali ya MV islanders ile ya Zanzibar, kwa hio hua kuna wakati wanahubir chuki.
staili ya kubadili majina nayo ni ya ajabu maana ukimuulizia ndugu yako Mara wakuulize yule Hakikazi Mara Elimu, Mara ufunuo, hekima, Fimbo ya MUSA etc.
aliamua kujiita hivyo! nadhani kila mtu na imani yake... na kwa nini nisimjue ADAM WA PILI! RIP Munuo!....hata wewe au mimi tunaweza kuanzisha makanisa yetu na tukajiita tunavyotaka! tumepewa amri kuu moja TUPENDANE.....busara na hekima muhimu sana...barikiwa my friend
Nilitaka niulize hilo swali, nikasita. Maana majina yao sasa, mara kizazi cha Nne cha Eliya, mara Hakikazi, mara mwaka wa mafanikio eliya etc etcHahahhahaha umenichekesha sana asee eti mti wa uzima....amekua yesu sasa...vp na ww ndo ulipewa hilo siku za ajabu nn
Asante kwa baraka. Lakini ndugu kama ni msomaji mzuri wa biblia utagundua Adam was pili ni Yesu na kwa imani ya kikristo Yesy ni Mungu inamaana Munuo alijiita mungu kwa maana nyingine
watakua hao ni wabishii maana hizi private church zinaongozwa kwa utashi sio katiba na utaratibu maalumMbona juzi niliwaona na mavazi yao meupe huku Arusha? Ban imeisha?
Kesi gani tena..??Yule mchungaji\mmiliki wa efatha ile kesi yake imeishaje??
Kwani hujui kama Biblia inaitwa NENO?Hawa jamaa wana imani ya ajabu ukijiunga tu na dhehebu lao wanakupatia majina mapya kuanzia lakwanza mpaka la mwisho na hata mji unaoishi wanaubadili jina mfano DAR inaitwa Siloam kwani wanaamini majina yote ya awali ni ya kishetani pia biblia inaitwa neno na wanaamini pia kuwa muumini wao wa kweli haugui wala hafi na hata Munuo wanaamini hakufa bali alipaa SHIKA NENO TENDA NENO wanapenda kuanza ibada zao saa 10 alfajiri ili kuwahi mibaraka ambayo wanaamini huwa wanapokwa na wale wanaopiga azana saa 11 asubuhi