Utata juu ya mwanaJF Ontario

Nilimfatilia ontario kabla hata ya forex kipindi cha kupiga mil 19 kwenye trekta
Ufugaji wa kuku n.k

Ni kijana mdogo kwa umri ila ndo anakimbizaa watu wazima
Kama huwezi pambana nae basi ungana nae
Anatumia maneno makali muda mwingine na yenye kuudhi mnoo
Anamajivuno na kebehi ila ndio mapungufu yake
Ama ndio sawa kwake
But all in all
Kama huna unachokipata kutoka kwakwe unfollow him

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya vitu vilivyonifanya kuielewa (kuvipenda/kuvutiwa navyo) sana JF miaka ya 2017 ni Ontario na Forex. Sema tu hyo issue nlikuwa naiona JF tu na nlikuwa guest.
Na me nimiongoni nilio jiunga JF kwa asababu ya Forex 2017, may. Ontario ndiye aliye nimotiveti ila soon watu walivyo anza kulalamika nikaacha kumfuatilia nikawa na pambana na hali yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukipitia post zao Unaweza ukajiona lofa wa mwisho kabisa duniani😂😂😂
 
Write your reply...Hv matajir Wa forex hawajaanza jenga viwanda watuajir maana Hall tete na Sera za kaya ni vwonder
 
Forex is real....learn and do urself

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna tatizo sana na upeo wa watanzania mi namwekea notification mo dewji na jeff bezo we unamwekea tapeli ontario...kweli kuna kitiu hakiko sawa kwetu
 
kuna tatizo sana na upeo wa watanzania mi namwekea notification mo dewji na jeff bezo we unamwekea tapeli ontario...kweli kuna kitiu hakiko sawa kwetu
Punguza kamasi kichwani mwako

MO alisoma IST, kuachiwa maBillion aendeleze babako amekuachia shingapi.

Bezos aliepewa Billion 1.5 na wazazi wake kuanzisha Amazon, alikuwa na Computer na Access ya internet akiwa na miaka 9 tu kipindi ambacho kumiliki Compute ndoti uwe na ukwasi mkubwa...babako anauwezo wa kukupa Billion, Umemiliki computer ukiwa na umri gani, kwenu kuna garage ya magari even hata Paso babako anayo.

Ujui nini maana na kujifunzia IDIOT, kujifunzia ni kuangalia mtu aliyetoka ZERO mpaka 10 aliyetoka familia kama yako.

Wewe unamuweka MO anaelipiwa ADA ya 70M babayako hata ada ya chuo alikwambia ujilipie mwenyewe na Boom huna akili wewe au kamasi kichwani.


IDIOT Mo..Jeff Bezos Hell unaishi Mabibo mwisho macho yawazazi yote yanakuangalia uwasomeshe wadogo zako unaandika mashundu hao watu hawajui hata shida ni nini na inafananaje then unaaandika upimbi hapa.


HELL

Portfolio | 2020
 
MANENO MENGI YANAZIDI ONYESHA UWEZO WAKO MDOGO WA KUFIKIRI.

ENDELEA KUA NA HAYO MAWAZO MGANDO UTABAKI HAPO HAPO.

WASWAHILI WANASEMA
"IF YOU ARE BORN POOR IT’S NOT YOUR MISTAKE, BUT IF YOU DIE POOR IT’S YOUR MISTAKE"

Kama thats your ***..g mentality basi kila mtoto wa tajiri angekua billionea...msome JEFF BEZZO kwe The Everything Store Fuatilia historia ya MO DEWJI toka finding a family billion to trillion,msome ELON MUSK,STEVE JOBS,SAM WALTON....siwezi sikiliza ujinga wa mpigaji ONTARIO hana tofauti na kina this so called motivation speakers maneno miingi mwisho wa siku mkiingiaga king ndo mnapigwa.The only difference between D9,FOREVER LIVING,MR KUKU, and ONTARION is the product but same style

And yeah your right IDIOT i was born and raised in mabibo mwisho ulizia eneo la safara,am mlate twenty a manager in prestigious bank,all my family and parents are doing good living in my own house and having a stable income and business.

So who da fu..ck are you to judge how i was raised....IF YOU THINK SMALL YOU WILL REMAIN SMALL FOR LIFE STUPID
 
Stay away from my way...GO AND GET FU... BY THOSE BILLIONAIRE.

Don't qoute me IDIO.

Portfolio | 2020
 
Anasema hafundishi forex kwa sasa ila naona jana tu alijaza ukumbi kiingilio 45k sasa sijui anafundisha nini huko.

Sijui anatumia njia gani kiusahihi kutoboa ila anaonekana mpambanaji ni mfano kwa vijana kwa upande mwingine.
Kuna insta story aliweka screenshots ya kupondwa huku akasema yeye alishaachaga kuingia JF.
 
Pia watu wanaweka screenshot za post zake za IG huku wakisema hawamfatilii.

Maisha

Portfolio | 2020
 
Go eat Ontario diK you small minded diK riding mafaka maybe you will sustain that ,,1.5
 
Nimeangalia pdf ya T.T.T najua hata kuona vijana kwa kama chambooo. Yanii ni sawa wewe ni beginner una attend seminar unaambwa forex usikate tamaa una lipa unasepa.

Hata nikiweka pdf yake hapaa kwa mzoefuuu ni nothing.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ontario bana anafurahisha just imagine anasema amefanya 45k kama offer tu kwenye program ya pesaship gharama nyingine atatoa mfukoni kwake ikimaanisha 45k haitoshi kucover program uwiii huyu muuaji shenz type then kapata watu 500+ * 45,000 kapiga zaidi ya 22M ukitoa ukumbi na chakula kwa vijana anakunja kama 18M bila jasho hapo anakwambia nimejitolea for free
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…