Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,949
- 4,423
Mwenzenu sasa hivi ana zaidi ya billion nyie midume mizima mnaanzisha uzi wa kumjadili
Wewe fata kilichokupeleka kwenye Page kwanini ufuatilie usichokihitaji.Niko kama wewe nafollow watu na page chache sana akiwemo Ontario ana kitu kwel lakini si kwakuwahadaa vijana huku kashindwa TMT sasa yuko na pesaship mjomba huna cha kuniuliza kama kuna ujanja wa mjini hapa
motivation speaker motivation speaker motivation speaker daaah wanazidi kuwapoteza vijana kwa kasi sana
October man jitafakari ni mipango mingapi unayo na hujaifanikisha mpaka now? na daily unaendelea kuwafatilia hawa motivation speaker? vipi car wash usha fungua?
nb; yaani mtu akufundishe jinsi ya kutafta pesa na kujinasibu kuwa yeye ni tajiri afu hapohapo anataka umlipe 40k ya mafunzo?
Sent using Jamii Forums mobile app





nipo mkuki house nacheza gamefafanua kauli yako mkuu! hawezi kuwapa shida kivipi?Kwa waliosoma St. Anthony kuanzia 2007-2010 watakua wanamfanhamu viivyo huyu dogo hawezi kuwapa shida ya aina yoyote...hahaha
😂😂😂Sasa atafanyaje wkt mazuzu wana hela zinawawasha mkuu.
dodge
Umemaliza au niendelee kukusoma?ID nyingine ya Ontario haha, jamaa mjanja huyu
Happy dude
![]()
Kwasababu alikua anajulikana tabia zake...
Kwa waliosoma St. Anthony kuanzia 2007-2010 watakua wanamfanhamu viivyo huyu dogo hawezi kuwapa shida ya aina yoyote...hahaha



fafanua kwani jamaa anagawa shida.Matapeli hao wanavuta wajingaMbona hueleweki mkuu? mara unamsifia huyo Ontario mara unamponda! Kulikoni?
Kweli unamfuatilia vizuri mkuuSiku hizi kutengeneza kundi la misukule ya kukuabudu ni rahisi sana.
Hapo Ontario kashapiga mahesabu, akiposti picha hakosi LIKES 1,500+
Kwa Muktadha huo, hawezi kushindwa kupata Misukule 100 tu !
Na Kwa Kutumia Hao Watu 100 ( Kwa Makadirio Ya Chini ) Kama Kila Mmoja atakuwa analipa Fees ya Tsh 40,000 Kupitia hiyo program yake ya PesaShip.
Maana Yake atakuwa na uwezo wa kuingiza Takribani Tsh 40,000^100 = 4,000,000 Tsh ( Ndani ya Dakika chache tu za Pindi )
Hata Wasanii Wakubwa Wa Wabongo hawajafikia kiwango hicho ( Kupiga Show Kwa Muda Mfupi Sana, Tena Ya Tsh 40,000/ Kichwa )
Ontario Kashawajua Wabongo, wanapenda mteremko, maisha mazuri na short cuts.
Na Kaijua Njia Nzuri Ya Marketing ( StoryTelling ) Kwahiyo Ndoano Zake Huwa Hazitoki Bure.
Ukitaka Kumjua Ontario, Soma Vitabu Anavyosoma. Period
Na Kama Angekuwa Na Nia Ya Kuwasaidia Vijana Wake, Angewapata FORMULA YAKE YA CHAKULA KUKU.
Binafsi hata aje Tonny Robbins Siwezi Kumlipa Mtu Akaniambie KOMAA, PAMBANA, UNAWEZA, USIKATE TAMAA. Never !!


tabia zake zipi mkuu? hapo ndo nadhani wengi umetuacha njia pandaKwasababu alikua anajulikana tabia zake...