Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Mkuu kwa mimi mpenda kitonga naruhusiwa kukopy na kwenda kupastia mahali halafu uwe ni uzi wangu?🙂🙂🙂
Hahahah.!! Si uungwana mkuu..

Labda unieleze ni wapi? Kama ni ndugu, jamaa na marafiki unaweza tu kuwatumia link wakaja kusoma hapa... Pia unakuwa unasaidia kuwapa hamasa nao wajiunge na JamiiForums
 
The bold namimi naomba uwe unanitag simulizi zakoo zoooteee.kwakweli ww ni kichwa mtu akianza kusoma makala yako akaishia katikati basi anamatatizo upstairs
Hahaha!! Pamoja sana mkuu..

Nimekuongeza kwa taglist tayari..
 
Stori ya mauaji ya JFK inasisimua hapohapo huwa inatia simanzi na huzuni hasa ukizingatia jinsi watu wa familia yake walivyokufa kiajabu ajabu na kuacha maswali mengi kuliko majibu.

Kuuwawa kwa JFK kisha baadae Robert F. Kennedy ( RFK ) ni ishara tosha ya faulo kuchezeka tena kwa makusudi.

Naifatilia makala mkuu kwa makini, ili niongeze ujuzi zaidi, asante kwa kunitag.

Ubarikiwe.
Pamoja sana mkuu Mussolin5
 
Back
Top Bottom