Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,757
- Thread starter
- #101
Pamoja mkuu..Thanks nyingi kwako mkuu
Pamoja mkuu..Thanks nyingi kwako mkuu
Bila shaka mkuu..Unikumbuke kunitag ukiweka mwendelezo
..
Wamarekani Pamoja na Mapungufu Yao ya Kiulinzi mpaka kusababisha Kifo cha Rais wao lakin wako Makini sana!
Nime wazi ndani ya dakika 30 Tangu Rais wao kapigwa Risasi wanautangazia Ulimwengu kuwa Rais is no more na ndani ya dakika 30 Tangu watangaze Kifo wanamuapisha Rais Mteule!
Kifo cha Rais Mstaafu tu Julius Nyerere tulipigwa danadana na Maandalizi ya Kisaikolojia wiki kadhaa Mara sijui Mwalimu hatoamka Tena Mara sijui nini daah!
Nimejaribu kuwaza Hali aliyokuwa nayo Mrs Keneddy kuanzia kupigwa Risasi Mumewe ndani ya saa Moja baadae akiwa kwny Ndege anashuhudia pia anavuliwa u First Lady! Nadhani ndio ilikuwa saa ngumu zaid kwa Huyu Mama kwny Maisha yake Duniani!
Hahahaaaaa shukraan mkuu.Uzi huu umebamba yaani ni bampa to bampa!!
Safi Sana "The bold , Nifah" akiweka marashi ya waridi kazi nzuri!!!
Tatizo hawajui how many sleepless nights somebody counts to make something great n' big happen. Kinapoonekana somebody may ignore or mocks at it. But only the real recognises the real.Pamoja sana comrade Steve..
Ndio changamoto zenyewe hizi za hizi harakati! Piracy imezidi mno
Salute sana kwako mkuu!
safi sana the bold, hata mm ntasupport kwa kazi kubwa unayoifanya..Gharama ya kuwa member wa group ni shilingi elfu tano - 0718 096 811
Hahahaaaaa shukraan mkuu.
Mkuu The bold naomba nami unitag ukiendelea na hii habariNisamehe bure mkuu! Nimekuongeza kwenye taglist tayari..