Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Kwa mara nyingine tena nakuona katika ubora wako Mkuu!

Akhsante kwa hisani hii unayoendelea kutufanyia sisi wafuasi wako!

Nina deni la kusoma uzi wa Gaddafi, ngoja nianzie hapa kwanza
 
Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta! Kiukweli hata mimi kabla ya kusoma huu uzi nilianza kuona ule uzi feki, nikashangaa sana story inaanzia katikati na kuishia katikati!

Huyo bwana anasononesha sana ila hongera kwa kumpuuza na kuamua kutupa burudani kama ulivyokusudia tangu awali!
Mungu azidi kukaa upande wako
 
Nashukuru kwa kuzingatia ushauri wangu na umepost wewe kama wewe.

Muhimu ni kwamba kipaji unacho,hata wakicopy hawawezi kucopy kipaji chako.
Ninachoweza kukuambia piga kazi baba,bila kujali wanasema nini.

Hongera kwa makala nzuri kichwa.
Mkuu shemela,kwa maneno haya hakiyanani hata wafanye nini the bold atabakia kuwakimbiza tu.wewe mtie tu hasira the bold uone atavyo jituma .

Yote kwa yote nawapongeza sana kwa mchango wenu hapa jf.mbarikiwe
 
Back
Top Bottom