Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta! Kiukweli hata mimi kabla ya kusoma huu uzi nilianza kuona ule uzi feki, nikashangaa sana story inaanzia katikati na kuishia katikati!

Huyo bwana anasononesha sana ila hongera kwa kumpuuza na kuamua kutupa burudani kama ulivyokusudia tangu awali!
Mungu azidi kukaa upande wako
Pamoja sana mkuu..

Watu wa dizaini yake wanaumiza sana mioyo!
 
Back
Top Bottom