Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Utata Juu ya Kifo Cha Rais JF Kennedy

Mkuu kwa mimi mpenda kitonga naruhusiwa kukopy na kwenda kupastia mahali halafu uwe ni uzi wangu?🙂🙂🙂
 
Mm nishaomba uwe unanitagi ila sijawahi pata bahati kama hiyo ila sikulaumu uko na watu wengi nitaitafuta mwenyewe hii story
 
Stori ya mauaji ya JFK inasisimua hapohapo huwa inatia simanzi na huzuni hasa ukizingatia jinsi watu wa familia yake walivyokufa kiajabu ajabu na kuacha maswali mengi kuliko majibu.

Kuuwawa kwa JFK kisha baadae Robert F. Kennedy ( RFK ) ni ishara tosha ya faulo kuchezeka tena kwa makusudi.

Naifatilia makala mkuu kwa makini, ili niongeze ujuzi zaidi, asante kwa kunitag.

Ubarikiwe.
 
Wamarekani Pamoja na Mapungufu Yao ya Kiulinzi mpaka kusababisha Kifo cha Rais wao lakin wako Makini sana!

Nime wazi ndani ya dakika 30 Tangu Rais wao kapigwa Risasi wanautangazia Ulimwengu kuwa Rais is no more na ndani ya dakika 30 Tangu watangaze Kifo wanamuapisha Rais Mteule!

Kifo cha Rais Mstaafu tu Julius Nyerere tulipigwa danadana na Maandalizi ya Kisaikolojia wiki kadhaa Mara sijui Mwalimu hatoamka Tena Mara sijui nini daah!

Nimejaribu kuwaza Hali aliyokuwa nayo Mrs Keneddy kuanzia kupigwa Risasi Mumewe ndani ya saa Moja baadae akiwa kwny Ndege anashuhudia pia anavuliwa u First Lady! Nadhani ndio ilikuwa saa ngumu zaid kwa Huyu Mama kwny Maisha yake Duniani!
 
Back
Top Bottom