Caf wanasheria kua kuna timu ktk ranks zinaingiza timu 2 klabu bingwa na shirikisho. Kwa hapa tz hii imekuja baada ya simba kukusanya point nying ktk michuano hii, pia wakaunganisha point za namungo na yanga. Ndo mna tumepata nafasi ya kuingiza timu 4 tng mwaka juz km sikosei.