3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 4,894
- 13,645
Hii hbr ya kugawana mali pale inapotokea mmeachana mali inayogawanywa si ni ile ambayo ilipatikana mkiwa pamoja au inahusu hata mali ambazo alikukuta/alikuwa nazo?
Asilimia kubwa ya wanawake ni chanzo cha stress nyumbani, kwahiyo ondoa suala la "kuondoa stress"! Kukuzalia watoto?! Watoto gani?! Asilimia kubwa ya watoto wanaegemea na kutoa misaada zaidi kwa mama zao kuliko kwa baba zao! Sasa hapo kanizalia mimi au amejizalia mwenyewe?! Angetafuta mali huko kama walivyotafuta wanawake wangapi?! Hata ukiangalia orodha ya matajiri duniani, imetawaliwa na wanaume kwa zaidi ya 90%, na ukiona wanawake kwenye orodha basi ni ama za kurithi kwa baba zao wanaume au za kuachiwa na waume zao wanaume!!Shida ni hiyo pasu kwa pasu au?!!
Naona hata haitoshi kufidia maisha ya mwanamke uliyemfanya mke. Ukimfanya mke akawa tu nyumbani akikuondolea stress na kukuzalia watoto, muda ambao kama usingemuoa angekuwa anatafuta mali huko. Unadhani yeye mali atapata wapi. Na ndio maana mnagawana kila kitu hadi watoto.
Shikamoo Brother!!!!PKP - pasu kwa pasu
Prenup
Hakuna cha cost wewe, mazoea tu na ile kutaka kuendana na jamii. Siku hizi watu kibao hawaoi na bado wanaishi happier life kuliko hao walio kwenye ndoa ndoano! Mtu kama huna uwezo wa washing machine, kuna madobi kila kona! Kama huna uwezo wa kupika, ma-house girl 50K tu kwa mwezi, na hivyo ni viwango vya mijini kama Dar!! Hao watoto wakishakuwa wakubwa wanakuwa na msaada zaidi kwa mama kuliko kwa baba, kwahiyo hao wanawake hakuna wanayemlelea bali wanayalea maisha yao ya baadae na msitake kuonesha kwamba eti ni bonge la kazi!!!Na hili ndo tatizo, mchango wa mwanamke ni mgumu sana kuupigia mahesabu na mara nyingi sisi wanaume tunachukulia poa tu.
Kama mtu anaona wanawake wanachangia kidogo sana, jaribu kuishi bila wao utaona cost yake.
Upishi, usafi, ulezi wa watoto, urafiki: ni vitu vya ghali saaana...
Ni shidaNdugu hao viumbe achana nao embu vuta picha mtu anaamka usiku anaendaa basi hajabeba ata buku ya soda kavaa tu kimahaba akifika huko ni mauno tu dinner vinywaji naul atapata huko huko we unaona huyo ni kiumbe wa kushindana nae
Mm nimeshuhudia demu kaolewa baada ya mwez karud kwao anadai talaka kuja kuchunguza kumbe kapata bwana mwingine na mama yke ye anasubir mahali ndo maana akawa hampi suppprt mumewe
.
Kaa mbal na mwanamke
Kwahiyo mwanamke ni mfanyakazi (mtumwa) anayestahili kulipwa pasu pindi tukiachana?Wewe naona ni mjinga kwahiyo ulizania mwanamke ni housegirl wako akupikie akufulie,akulindie nyumba yako akutunzie watoto miaka yote halafu useme hana haki ? Kwani yeye hawezi kwenda kufanya vibarua akajenga mji wake kwa huo muda wote miaka yote ulioishi naye? Kwanza ujue mwanamke alitakiwa azidishiwe robot tatu
Shikamoo Brother!!!!
Ndo maana huko huko Ulaya na Marekani tulikoiga hizi sheria zisizo na haki, hivi sasa watu wameshtuka na kusaianiana prenup kabla ya kufunga ndoa!
Wewe naona ni mjinga kwahiyo ulizania mwanamke ni housegirl wako akupikie akufulie,akulindie nyumba yako akutunzie watoto miaka yote halafu useme hana haki ? Kwani yeye hawezi kwenda kufanya vibarua akajenga mji wake kwa huo muda wote miaka yote ulioishi naye? Kwanza ujue mwanamke alitakiwa azidishiwe robot tatu
Nazani amemaanisha wengine wanaenda kwa baba wengine kwa mama, kama ni mdogo sana anabaki kwa mama.... kama wakubwa wanachagua au inaangaliwa nani anaweza kuwatunzaAcha uongo mkuu toka lini ulisikia watu wakigawana watoto,?
Kwamba mnagawana watoto, watoto wengine wanakua wanamuhusu baba tu na wengine wanamuhusu mama tu ,
We ulisikia waapii? A cha uongo
SI mpaka aridhie mmalizane kislam akiamua kwenda mahakamani jeKwa Waislamu hakuna kitu kinaitwa pasu kwa pasu.
Mwanaume ni mwanaume tu.
Hause girl nae apewe robo labda maana wanaume wanalipia House girl ambao wanaofanya shughuli nyingine za nyumbanHaielewi huyoo! Nilitaka kuandika same thing sema umeniwahi.
Zile Garama za kukupikia, kukufulia,!kukulindia nyumba na kukutunzia watoto malipo yake ndio hiyo pasu kwa pasu unayoona ni nyingi.