antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 44,628
- 120,162
Mbuzi kwenye junia 🤔Kama hii mkuu
View attachment 1681010
Mbuzi kwenye junia 🤔Kama hii mkuu
View attachment 1681010
Bila shaka nawe mjenzi wa nyumba uchwaraNafikiri sio utapeli maana unapata mali according to your money, kama unataka cement itoe matofali 18 utalipa milioni 100, hao jamaa acha wahudumie hiyo market ya watu wa chini kuna watu wanahitaji na ndio wanapoweza, usitake Mercedes Benz kwa bei ya Toyota
Hawawezi kukuonyesha picha ya nyumba aliponunua, na hivi sasa ilivyobomoka.Matapeli wameingilia uzi
Kwani umeshauza ngapi😂Chamaz hakuna utapeli wa aina hiyo bro! Futa hii andka tena
Sio nimeuza ngapi!!!?....umedanganya umma wa Watanzania! Unadhani serikali yako haioni ubora wa zile nyumba? Unafikiri wote wanaonunua zile nyumba ni Wajinga? Unadhani wanajenga bila vibali vya ujenzi? Na nikuhakikishie tu ndugu Nyumba hizi unazosema hazina ubora na hazina lenta na baadhi ya kuta hizo ni Uongo kabisa! Nyumba ni nzuri na zinauzika freshi tu tatizo mkishaanza kumiliki hizi smartphone mnakuwa waandishi wa Habari!Kwani umeshauza ngapi
Ndugu Kicheche Mkali bila shaka mwenyewe ni jenga uza au dalali wa jenga uza ndio maana watetea ugali wenu.Vibali hailalishi ubora wa nyumba hiyo inayo jengwa ,iliyojengwa.Kwani hata utaratibu wa ukaguzi wa ubora haupo kwa sasa.Kipimo pekee ni vilio vya wauziwa nyumba zenyewe.Kwani hata Mashimo ya choo,jenga uza hachelewi kumuwekea chini ya sebule,urefu wenyewe akibahatika futi tano🤔Sio nimeuza ngapi!!!?....umedanganya umma wa Watanzania! Unadhani serikali yako haioni ubora wa zile nyumba? Unafikiri wote wanaonunua zile nyumba ni Wajinga? Unadhani wanajenga bila vibali vya ujenzi? Na nikuhakikishie tu ndugu Nyumba hizi unazosema hazina ubora na hazina lenta na baadhi ya kuta hizo ni Uongo kabisa! Nyumba ni nzuri na zinauzika freshi tu tatizo mkishaanza kumiliki hizi smartphone mnakuwa waandishi wa Habari!
😂😂😂Matapeli wameingilia uzi
Hii sio kweli budah....Ndugu Kicheche Mkali bila shaka mwenyewe ni jenga uza au dalali wa jenga uza ndio maana watetea ugali wenu.Vibali hailalishi ubora wa nyumba hiyo inayo jengwa ,iliyojengwa.Kwani hata utaratibu wa ukaguzi wa ubora haupo kwa sasa.Kipimo pekee ni vilio vya wauziwa nyumba zenyewe.Kwani hata Mashimo ya choo,jenga uza hachelewi kumuwekea chini ya sebule,urefu wenyewe akibahatika futi tano
Sawa Ndugu,Kicheche Mpole.Hii sio kweli budah....
Acha tu mnama yaani ni mabanzi juu ya mabanzi.Wastaafu wanapata tabu sana wametumikia nchi kwa jasho na damu, wanatapeliwa na Qnet, Mr. Kuku, DECI, AIM Global na sasa hivi kwenye nyumba
labda wamejengewa wasitaafu kutokana na life span yaoKuna wimbi la nyumba nzuri na za kisasa kwa mwonekano zinaziuzwa kwa bei chee 25m-45m Mbagala Chamazi na Chanika jijiji DSM.
Mchezo upo hivi:
Kuna jamaa wana viwanja vingi na wana mafundi wao ambao hujenga nyumba cha kiwango cha chini sana cement mfuko mmoja tofali 48+ tofali hufwatuliwa site na kujenga hapo hapo.
Bati gauge 32 wanapiga rangi wenyewe. Baadhi ya kuta wameweka play wood badala ya tofali kitaalam sana.
Kench zipo mbali mbali sana kubana matumizi ya mbao. Ndo maana nyumba zote laizma ziwe na gypsum kuficha mambo.
Nyumba huwa hazijakaliwa na watu means bado mpya.
Hazina lenta ndo maan lazima wapige plasta na kuweka gypsum kuficha. Kuna wataalam wa kuchanganya rangi ili kukubabaisha uingie kingi. Msingi tofali moja tu ishapanda
NB: Nyumba hizi hazichukui muda sana utaona nyufa balaa. Na walengwa wengi ni wastaafu ambao hutafuta nyumba za kuishi baada ya kustaafu.
Wastaafu wanapata tabu sana wametumikia nchi kwa jasho na damu, wanatapeliwa na Qnet, Mr. Kuku, DECI, AIM Global na sasa hivi kwenye nyumba
Fika Chanika mkuu,hizi nyumba zipo sana...Mkuu unaweza kutuwekea nyumba mbili tatu za aina hio? Ambao watu walinunua na sasa hivi zimebomoka au kutoa nyufa?! Maanake hizi Stori tumesikia muda mrefu.