Utapeli uliokithiri Tz. So kua makini

Hudhaifiy

JF-Expert Member
Nov 4, 2013
336
144
Plz take a time to read it, ni information muhim sana..!!

Habari wana jf! Naomb niwataarifu kua kuna UTAPELI upo na unaendelea so uwe makini sana.! Utapeli huo n sms feki za direct either tigo, airtel or mpesa. INAKUA HIVI, mtu unamuuzia kitu mf. simu au pc den anakuulza unatumia mtandao upi kwa pesa may be utasema tigo pesa so yy atakutel anatumia mtandao tofaut na huo mf. Airtelmoney ili mrad akikutumia pesa iwe direct message, den unatumia hyo sms kutolea pesa..!! Sasa utapeli uko hapo, kuna sms nyngne mtu anakutumia na inaonekana imetoka kwny huo mtandao mf. Airtelmoney aliokutumia kumbe n feki den ukiend kutoa kwa wakala inagoma, so unakua umetapeliwa.!

Mm kuna jamaa alkua anataka kufany hvy ila nikashtuka nikamtel sikupi laptop mpka twende kwa wakala, akawa mkali sana na matusi juu, bt kufika kwa wakala kumbe n sms feki, nikamtel sikuuzii pc coz hua sipend shari na mtu.!

So ushaur wang ewe ndugu yang, kama mtu humjui or humuamini bora akatoe pesa den akuletee cash laa sivyo utaingizwa mjini..!! Mtel na mwenzako awe makini.! Thanks

cc. moderator naomb uiweke hii post juu ili watu wote wa jf waione wanapoingia..!!
Thanks
 
ujumbe mzuri, ila sasa kiswahili chenu nyie dot com ni balaa. hivi baada ya miaka kumi si tutakuwa na lugha nyingine kabisa[/QU
haswaa nachukia sana hiki kiswahili cha kipuuzi mtu lazima uamue kwamba naandika kiswahili au kiingereza au kama unachanganya bas andika vizuri asa "den" ndo nini!? Tunaumiza kichwa kufikiri
 
yaani sijui wanaandikaje maana mpaka umuelewe inakuwa umechukua nusu saa ndipo unaelewa ujumbe aliotoa hapa yaani inabidi wapunguze au waache kaibisa
ujumbe mzuri, ila sasa kiswahili chenu nyie dot com ni balaa. hivi baada ya miaka kumi si tutakuwa na lugha nyingine kabisa
 
Plz take a time to read it, ni information muhim sana..!!

Habari wana jf! Naomb niwataarifu kua kuna UTAPELI upo na unaendelea so uwe makini sana.! Utapeli huo n sms feki za direct either tigo, airtel or mpesa. INAKUA HIVI, mtu unamuuzia kitu mf. simu au pc den anakuulza unatumia mtandao upi kwa pesa may be utasema tigo pesa so yy atakutel anatumia mtandao tofaut na huo mf. Airtelmoney ili mrad akikutumia pesa iwe direct message, den unatumia hyo sms kutolea pesa..!! Sasa utapeli uko hapo, kuna sms nyngne mtu anakutumia na inaonekana imetoka kwny huo mtandao mf. Airtelmoney aliokutumia kumbe n feki den ukiend kutoa kwa wakala inagoma, so unakua umetapeliwa.!

Mm kuna jamaa alkua anataka kufany hvy ila nikashtuka nikamtel sikupi laptop mpka twende kwa wakala, akawa mkali sana na matusi juu, bt kufika kwa wakala kumbe n sms feki, nikamtel sikuuzii pc coz hua sipend shari na mtu.!

So ushaur wang ewe ndugu yang, kama mtu humjui or humuamini bora akatoe pesa den akuletee cash laa sivyo utaingizwa mjini..!! Mtel na mwenzako awe makini.! Thanks

cc. moderator naomb uiweke hii post juu ili watu wote wa jf waione wanapoingia..!!
Thanks
ungemtuaaa bis bis ya mac.... tu huyo akiyetaka kukutapeli alafu biasharaa yoyote ni cash money au money on the table tumalize biasharaaaa....ngoja hao waingieee kwenye melI ya wagiriki mbona watajuaaaa mziki huuu
 
Plz take a time to read it, ni information muhim sana..!!

Habari wana jf! Naomb niwataarifu kua kuna UTAPELI upo na unaendelea so uwe makini sana.! Utapeli huo n sms feki za direct either tigo, airtel or mpesa. INAKUA HIVI, mtu unamuuzia kitu mf. simu au pc den anakuulza unatumia mtandao upi kwa pesa may be utasema tigo pesa so yy atakutel anatumia mtandao tofaut na huo mf. Airtelmoney ili mrad akikutumia pesa iwe direct message, den unatumia hyo sms kutolea pesa..!! Sasa utapeli uko hapo, kuna sms nyngne mtu anakutumia na inaonekana imetoka kwny huo mtandao mf. Airtelmoney aliokutumia kumbe n feki den ukiend kutoa kwa wakala inagoma, so unakua umetapeliwa.!

Mm kuna jamaa alkua anataka kufany hvy ila nikashtuka nikamtel sikupi laptop mpka twende kwa wakala, akawa mkali sana na matusi juu, bt kufika kwa wakala kumbe n sms feki, nikamtel sikuuzii pc coz hua sipend shari na mtu.!

So ushaur wang ewe ndugu yang, kama mtu humjui or humuamini bora akatoe pesa den akuletee cash laa sivyo utaingizwa mjini..!! Mtel na mwenzako awe makini.! Thanks

cc. moderator naomb uiweke hii post juu ili watu wote wa jf waione wanapoingia..!!
Thanks

unaweza hukumu mtu Bure ila ni kwamba message hela za Airtel money(Airtel to other networks) zilibadilishwa mfumo wa kutolewa...

Inshort mm imewai kunitokea mtu kanitumia hela nimuuzie kitu...hela ilifika na nikamtumia hicho kitu...mtiti ukaja kwa wakala naambiwa PIN inayotumika kutolea hela sio sahihi...bahati nzuri alonitumia nilomuelewa na ilikua mara ya pili kufanya nae biashara...alipowapigia Airtel Money wakadai hiyo issue imekua ngumu siku hizi...Hivo wakasema niwapigie nithibitishe hela irudishwe kwa mtumaji...ilirudishwa na huyo mtu alinitumia kwa njia nyingine....

kwa kifupi hela za message za airtel money usizikubali maana ni kama zinazingua kutoka siku hizi
 
mambo ya nusu bei hayo,hakatwi mtu,BURE GHARAMA,
 
huu uwizi upo siku nyingi sana, ni kuwa mjanja tu unaangalia salio baada ya kutumiwa pesa kama salio limeongezeka basi pesa imeingia. lakini vilevile pesa inaweza kuwa imeingia mtumaji akapiga simu kwenda tigo pesa/ mpesa na kusema amekosea namba na pesa yake ikarudishwa!

cha msingi kama unafanya biashara na mtu usiyemfahamu ni mwendo wa cash, kama anasema pesa ipo kwenye simu basi ongozana naye hadi kwa wakala akatoe then akupe cash money. ukiona anajifanya ana haraka sana au machale yamekucheza cancel the deal!
 
Back
Top Bottom