Utapeli Mpya Mjini!


Ki CCM hao ndiyo ma ko nki master.. Pesa Ya Elnino wameipiga pia
 
Yaani anatuma mahela yote hayo kabla hajakupigia?..
 
Siwezi kutuma hela kwa kutumiwa msg.
 
Baba yangu Alisha wahi nitafuta kwa sms nikashanga matukio yule tapeli alivo pangilia ka si mjuvi WA mambo unaliwa mchana kweupe
 
Kuna kitu labda hujaambiwa vzr kwenye utapeli huo lazima matu ashike simu ya mhusika asave namba yake humo kwanza ndio akatume hio sms
Utapeli upo mbele ya sisi!
Siku moja nipo na jamaa yangu, ni wakala tunapoga stori, akapigiwa simu na mfanyakazi wake akitaka kuhakikisha kuwa kama kweli bosi wake amemwomba hela.

Namba iliyotuma SMS ni ya jamaa, na typo mpoa wa mnali na ilipo noashara, na simu ya jamaa iliyotuma SMS ipo chaji baada ya kuzima muda mrefu.

Kama huwezi usiseme haiwezekami
 
S
Sasa kuna upya gani hapo
 
Hii sasa ni hatari aisee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…