Utapeli Mpya Mjini!

Inabidi muweke mfumo wa kuongea kwenye simu kabla ya kutoa hela, halafu kwenye maongezi mnaweka password fulani.

Yani akipata message kama hiyo akitafute kwa simu, muonhee, asikie sauti yako, halafu akikupata ukikubali ni wewe, akisikia sauti yako, akuulize password yenu mliyokimubaliana ni ipi, ukiweza kuisema anatuma oesa.

Hapo hata kama mtu akiiga sauti yako, hawezi kujua password.
 
SAwa, MIMI SIYO IT EXPART, natamani kurekodi video nielezee, nimeshindwa kupangilia tukio, mwishowe nimeripoti polisi, the rest is story,
Umewapa Tu ulaji hao police, watagawa hizo hela halafu huyo jamaa anakuwa ATM Yao, kila akipiga tukio anapeleka mgao! So sad.
 
Sasa mkuu inajiongeza akili inajifunza mengi na tumeachia ifikiri badala yetu unategemea nini?
ikitkuana na muhuni mmoja wakawa masela na AI
Tumekwisha!
Ndio tulipofikia sasa na inaendelea kutuacha,inafanya mambo makubwa ambayo binadamu tumeshindwa , within a month time solve mathematics ambazo binadamu zilizomshinda binadamu kwa miaka zaidi ya 200,inafanya drug discovery, new physics etc fuatilia news kuhusu ai utaelewa
 
Bila shaka wewe sio cyber professional, umeweka terms nyingi sana hazieleweki, hiyo Trojan imewekwa simu ya nani ? Imewekwa kwenye simu yako ? Kama ni yako na ndio imetuma text maana yake vulnerability iko kwenye sms app sio watu wa mtandao wa simu.

Hiyo social engineering ulifanyiwa uka install malicious app? Story yako ina walakini mwingi na mtu ambao hana Abc za cyber security hawez hata kujua namna huo utapeli unafanywa.

Hii ni chai
 
hata mimi nimeshangaa, yaani sms ya maelekezo imetumwa remotely kutokea kwenye simu yake hapa hili tatizo haliwahusu watu wa mtandao hapa ni yeye tu simu yake imedukuliwa.

Huu ni utapeli tu wala sio wizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…