Utapeli Katika Betting Unafanyika Hivi

Utapeli Katika Betting Unafanyika Hivi

Mbona iko wazi.
Ukiona mtu anawafuata hao wafanyakaz wa paripesa ujue ni mgeni kwenye betting.

Kampun yenyewe haijasajiliwa TZ. Ni ya Nigeria. Ndio maana hawakat kodi .wanaogopa kushtakiwa.
Themes yake pia ni copy and paste na 1xbet

Zile stake kwao ni demo akaunt. Sio real deposit Money na hazitoki. Zinazungushiwa pale pale kwa akaunt ndio mana anakuonyesha stake tu na sio salio halisi.

Ila betting ni biashara ngumu. Achaneni nayo
 
Mimi sijaelewa..mfano sativa kabeti kampa Simba direct win yanga over 2.5,aka stake 1m kashare mkeka na promo code..nikifata ule mkeka ukachanika,nakua nimetapeliwa kwa namna gani!??
 
Una neno gani kwa wanaonitukana kwa kuleta mada hii?
 
Mimi sijaelewa..mfano sativa kabeti kampa Simba direct win yanga over 2.5,aka stake 1m kashare mkeka na promo code..nikifata ule mkeka ukachanika,nakua nimetapeliwa kwa namna gani!??
Kitendo cha kufuata mkeka na ukabetia paripesa kama yeye alivyobet, bas hela inaingia kwenye kampuni yao . Maana ungeweza kubetia kampun nyingine.

Kwahiyo wao wanafanya marketing ununue huduma kwao ..
 
Huo utapeli kivipi ?; Umelazimishwa Kufuata huo ushauri ?; Hata kama wao wasipostake wakawa wanawapa ushauri wa bure na sio mkeka mechi moja au mbili unaweza ukawa umeingia mkataba na betting companies za kuwapelekea wateja na unalipwa kila mteja anapopoteza...

Hio ni moja ya njia / business models za odds comparison sites au sites nyingi au watu wanao promotes betting na ku offer tips...; Na ili upate long term angalau uwe unashinda mara chache sababu kama kila siku unapigwa basi utakosa repeat customers...

Anyway the House always wins.... Sio utapeli ni Mathematics ipo upande wao, wewe punter zaidi ya kujifurahisha kama leisure unapewa a raw deal
 
karibu forex huku wanatakiwa wasomi na kujua siasa,uchumi na mwenendo wasoko sio adija kopa na betting
 
Kitendo cha kufuata mkeka na ukabetia paripesa kama yeye alivyobet, bas hela inaingia kwenye kampuni yao . Maana ungeweza kubetia kampun nyingine.

Kwahiyo wao wanafanya marketing ununue huduma kwao ..
Sasa huo utapeli au tangazo la biashara??
 
Ni two way.

1. Tangazo

2. Utapeli kwasababu Wadau wakiona Sativa kaweka 500k kwa odds 2. Bas wanaamini jamaa anauhakika na betslip yale kwahiyo wanaifuata bet kujua kuwa ile 500k sio real.
Bet ikichana anaumia aliyeifuata.
Ni ngumu sana kumshauri mtu anayekaribia kutapeliwa
 
Ni two way.

1. Tangazo

2. Utapeli kwasababu Wadau wakiona Sativa kaweka 500k kwa odds 2. Bas wanaamini jamaa anauhakika na betslip yale kwahiyo wanaifuata bet bika kujua kuwa ile 500k sio real.
Bet ikichana anaumia yule aliyeifuata na Sativa haimgusi
Upo sahii kuweka chambo,ila uki win??.. anyway wajinga ndio waliwao..tho nafikiri kila mtu anajua Hilo linafanyika.kama Baba levo kila siku kula mamilion ya wasafi..
 
Naomba niwasanue..

Kampuni ya Paripesa inawatumia akina Sativa17. Ipo hivi: wanapewa mamilioni ya pesa na kampuni, wanasukiwa mikeka ya uongo(japo mara chache husika ya ukweli) Kisha Wana stake hela nyingi. Unakuta mkeka mmoja anaweka 700k na kutoa code na promo code anaisambaza kwenye magroup ya Whatsapp na page za mitandao ya kijamii.

Wanawashawishi watu ku stake hela nyingi kama wao. Kitakachofuata ni mikeka kuchanika kikatili sana. Wao wanakuwa hawana hasara kwa sababu hela siyo yao, ni ya Ponjoro. Wao wanalipwa fixed salary mwisho wa mwezi.

Zile stake kwao ni demo akaunt. Sio real deposit Money na hazitoki. Zinazungushiwa pale pale kwa akaunt ndio mana anakuonyesha stake tu na sio salio halisi.

Mkeka pekee wa kweli ni wa kusuka mwenyewe.
Mimi sifahamu lolote kuhusu hayo mambo ya betting sijui kamari. Kamari pekee niliyowahi kucheza tena ni mwaka 90 huko, ile unafumbata sarafu (Shilingi ya Mwinyi) kwa mikono miwili, unaitikisa-tikisa wee halafu mikono unaifumbata chini, mwenzako anakisia mkono wenye sarafu, akipata ile sarafuyake na yako za kwake, akikosa ile ya kwako na yake za kwake.

katika hili la kwako ni swali dogo tu, Je, Timu na wachezaji huwa wanashirikishwa kwenye hili?
 
Jitabirie mwenyewe, mana hakuna anayejua matokeo yatakuaje, sasa Sativa amekuwa Mungu ajue kuwa timu itashinda au lah, ye mwenyewe anabahatisha. sema labda akili ndogo nyie punta
 
mkuu hapa umeandika upuuzi tu.. zaidi umetumia tu hisia na akili zako fupi..betting ya mpira iko wazi kila mtu anajionea mechi ikichezwa uwanjani..na kuhusu hao uliowataja wao wamechagua timu wanazoziamini zitawapa matokeo ya ushindi mfano berkane win,pyramid win,PSG over 1.5 goals kisha akastake million 1..hapo kama ww ukafatiza alivyobet yeye na mkakosa utasemaje eti amefanya utapeli je,hizo timu hazipo,je,hizo timu hazikucheza uwanjani.? kuhjsu stake kila mtu ana urefu wa kamba yake na zaidi unene wa mfuko wako kuna wanaoweza kustake million,laki,elfu 10 au mia tano..katika betting ambazo hazina utapeli ni football hivyo mtoa mada acha uzandiki hayo sijui code , promo code na stake 700k hayo ni hiyari yako tu kuyafuata wala ulazimishwi..ww kama yamekushinda katafute kazi nyingine ufanye na sio kusingia eti football inakutapeli ni fix zenu za kushindwa.
Ndo maana pale mwishoni kamalizia mikeka beti mwenyewe,hao kina sativa wengine kama hao ni matapeli,mtu hawezi kuandaa codes 24 hrs halafu anatoa bure,hao hao ilivuja kwenye group lao wameweka treni watu wamefuata code baadaye wenyewe wanachati leo tutapiga hela ile code imebeba nyumbu kibao.
Wanazoshinda zipo za uhakika na zipo za mkakati usibishe usichokijua,code anadaa mwenyewe ila siyo kwa hao punters wanaojulikana
 
Great 😃 👍🏽
 
Affiliate program, ndiomaana anatupia link ya pripesa anakupa na promo code yake. Yani anakula kote kote. Kama atafanikiwa kuunga wakamaria 500 ukajisajiri paripesa kupitia link yake basi kwa wiki anauhakika wa kukunja pesa ndefu kama kamishen, yani ukibet yeye anapasent yake tayari. Hiyo kitu miaka hiyo niliwahi kifanya kupitia 1xbet, niliunganisha watu zaidi ya 50 kwa wiki nilikuwa sikosi laki kama kamisheni. Cha kushangaza sikuwahi kuwithdraw hata thumni zote ziliishia huko huko kwenye kubeti. nb: kamari ni ushetani
 
Mi nafata sana mikeka ya kina tiva, vina,stopable,proffesor, napiga sana madusco wewe endelea kupiga majungu tu
 
Back
Top Bottom