mkuu hapa umeandika upuuzi tu.. zaidi umetumia tu hisia na akili zako fupi..betting ya mpira iko wazi kila mtu anajionea mechi ikichezwa uwanjani..na kuhusu hao uliowataja wao wamechagua timu wanazoziamini zitawapa matokeo ya ushindi mfano berkane win,pyramid win,PSG over 1.5 goals kisha akastake million 1..hapo kama ww ukafatiza alivyobet yeye na mkakosa utasemaje eti amefanya utapeli je,hizo timu hazipo,je,hizo timu hazikucheza uwanjani.? kuhjsu stake kila mtu ana urefu wa kamba yake na zaidi unene wa mfuko wako kuna wanaoweza kustake million,laki,elfu 10 au mia tano..katika betting ambazo hazina utapeli ni football hivyo mtoa mada acha uzandiki hayo sijui code , promo code na stake 700k hayo ni hiyari yako tu kuyafuata wala ulazimishwi..ww kama yamekushinda katafute kazi nyingine ufanye na sio kusingia eti football inakutapeli ni fix zenu za kushindwa.