UTAN: Serikali iseme alipo Lara 1

UTAN: Serikali iseme alipo Lara 1

image.jpeg
 
Lara1 is one of popular members wa JF hususani jukwaa hili la MMU lakini kwa muda mrefu hatujaweza kumuona hapa jukwaani, kuanzia uchangiaji wa mada mpaka kupost mada zake nzuri na za kusisimua.

Naiomba serikali iseme yupo wapi Lara 1?
Teh Teh akanana lara 1 yupo ana jiandaa na ndoa.......
 
Naona bando hana tena tuanzisshe mchango wa bando mimi napokea mchango kwa niaba ya
 
Anavuta pumzi akija utasikia.....igweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrr.Then unakaa mkao wa kupokea mavituzzzz😀
 
Tunasubiri tamko la UJUMMU (Umoja wa Jukwaa la MMU)
 
Itakuwa hofu ya trump kumrudisha bongo inampa homa.Si unaona hata instagram hapost kwa fujo siku hizi
 
Back
Top Bottom