Dr Matola PhD
Platinum Member
- Oct 18, 2010
- 61,808
- 109,809
Unamaanisha nini?Itakuwa hofu ya trump kumrudisha bongo inampa homa.Si unaona hata instagram hapost kwa fujo siku hizi
Unamaanisha nini?Itakuwa hofu ya trump kumrudisha bongo inampa homa.Si unaona hata instagram hapost kwa fujo siku hizi
Na uzuri wa ndoa za siku hizi, hata michango hawataki, unakuja kushtuka ndoa tayari, lini na wapi, hujui!Kaolewa
Wacha hizo bhana, hajaolewa ila AMEWOLEWA. ALIWOLEWA JANA USIKU, NA ASUBUHI KAWOLEWA TENA NA MCHANA ATAWOLEWAKaolewa
shoga angu ahadi ikawa ahaaaaaaaaaaadiiiii.Aliahidi mwez huu atatuletea story kali ya kufungia mwaka,
Karibu lara 1Mmoja ya kinadada mahiri wa kuanzisha mada...