Mhhhh chakula gani unawezea sana??/
Ambacho hata watu nyumbani hua wanaulizia!
hiyo andunje ni kijaluo?Sio andunje????
Ok ok da husni ngoja niwapm wanawake wote tz,du hili swali lako lingine bwana,ok jibu ni hv mtambuzi ni baba yangu wa hiari jf na c baba yangu mzazi,Asa da husni uporoto ndio shem wetu wa ukweli au coz mie mgeni ckushuhudia haruc lol!
preta rudi bana. Mi nauliza umri wako. Lol.
Chapati
mimi umri sikumbuki lakini nakumbuka nilizaliwa wakati ule wa zamani sana.......
marhaba tena, uwe unaniamkia kila siku. Lol.
Chapati
hiyo andunje ni kijaluo?
unaweza kupika sharifu? (usiniulize jina lake kwa kiinglish)
hehehehehe! Hilo la uporoto. Mmmmh! Ngoja aje. Lol.
Unaulizwa wewe halaf jibu atoe uporoto? heheeh mleta sredi bana ,naona imeanza kukugeukia lolhehehehehe! Hilo la uporoto. Mmmmh! Ngoja aje. Lol.
Unaulizwa wewe halaf jibu atoe uporoto? heheeh mleta sredi bana ,naona imeanza kukugeukia lol
zina manyama ndani. Mayai na ngano nje. Ushazipata? Ukija nitakupikia.