Utamu.

Globu

JF-Expert Member
Jan 12, 2011
8,571
2,068
Nini hasa maana ya utamu? Kama ni ladha yenye sukari, mbona kuna wakati hata vya chumvi vitamu? Kama utamu huwa kwenye chakula, mbona kuna wakati hata visivyoliwa vitamu? Kama utamu ni faraghani, mbona kuna wakati hata kwenye fujo huwa patamu? Hivi utamu ni nini? Nisaidieni Wakuu.
 
JF SIO social network. . . ni FORUM.
Kweli hua naona kama watu wanaishusha heshima JF kuilinganisha na social network...
BTW, what is the difference? niliona nikubaliane na Lizzy tu kwanza... lol
 
Hodini hapa ba mayo na ba baba

Toka nilivyopromote pambano lisiolo la mkanda nimekuwa fan wa hili jukwaa. Huu "utamu" umenuvitia.

Kwa kujibu japo si mjuvi na sijui kuelezea ngoja nijitahidi. utamu ni ladha. Sukari tamu, asali tamu na hata nanihii nayo ni tamu. tofauti ya utamu ni ladha. Inaweza kuwa chungu ikawa tamu Inaweza kuumiza bado ikawa tamu........ lol yaani ni ladha

.........
BTW, what is the difference? niliona nikubaliane na Lizzy tu kwanza... lol

Mwali Hakuna difference . Diffrence inatagema mtu mpaka wa e-social network kwake ni upi. JF ni e-social etwork lakini ya koforum zaidi ,. Kuna E-social networ nyigine ziko za kimapenzi. Kuna nyingine ziko kiofisi ofisi kama twitter.kuna wegine wanahoji kama hata fcebook ni real "social network". Wanasema ni artificial so inatakiwa kutanguliza neno E na sio kuita tu social. Maana ingekuwa social hata wana wali kama wewe tungewachungulia.

But haka ni kammtazamo ka mtazamaji na sio ofisho
 
Hodini hapa ba mayo na ba baba

Toka nilivyopromote pambano lisiolo la mkanda nimekuwa fan wa hili jukwaa. Huu "utamu" umenuvitia.

Kwa kujibu japo si mjuvi na sijui kuelezea ngoja nijitahidi. utamu ni ladha. Sukari tamu, asali tamu na hata nanihii nayo ni tamu. tofauti ya utamu ni ladha. Inaweza kuwa chungu ikawa tamu Inaweza kuumiza bado ikawa tamu........ lol yaani ni ladha
Wewe umesha shindwa, longwa kuna!
Yaani ladha chungu ni tamu? ladha ni TASTE, na wala sio utamu!
 
Wewe umesha shindwa, longwa kuna!
Yaani ladha chungu ni tamu? ladha ni TASTE, na wala sio utamu!

Ondoka wenye sayansi mwali

utamu ni ladha inayoendana na hisia fulani ndio maana kuna watu vitu vichungu kwao ni vitamu na wengine vitamu kwao ni vichungu lol. Any way sina kamusi wala dikshenari kam kawa haya yanatoka kichit chat teh teh teh
 
Kwa hiyo mtoto akisema pipi ni tamu ni hisia yake tu? pipi sio tamu? umeshindwa, kashushu ukalale
 
Mkuu Mtazamaji bado sijapata jibu la kuridhisha. Hebu chemsha bongo kidogo.
 
Kweli hua naona kama watu wanaishusha heshima JF kuilinganisha na social network...
BTW, what is the difference? niliona nikubaliane na Lizzy tu kwanza... lol
Facebook (Social network) watu wapo kusocialize ZAIDI.
JF (Forum) watu wapo kimajadiliano ZAIDI.
 
Kwa hiyo mtoto akisema pipi ni tamu ni hisia yake tu? pipi sio tamu? umeshindwa, kashushu ukalale

Dah mwali unajua mada ilivyokuwa kwenye chit chat basi neno utamu nilichukulia kwa la wigo mpana zaidi. Maadamu imevutwa huku. wenye lugha basi ngoja turejee kwenye kamusi tuondoe tashtiti na takriri .

lakini "utamu" mhh hivi hili neno ni nomino , kivumishi au kielezi au pa linaweza kuwa msemo????.( Hadithi tamu u utau mpaka kisogoni)
 
Back
Top Bottom