Mkojo ku taste sugar

NYAGI DRY

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
368
155
Habari ! Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo!

Nimejarib kujifanyia monitoring pale inapotokea nimekunywa chai nikitest mkojo wangu kwa kulamba naisikia kabisa sukari kwenye mkojo au ikitokea nimekunywa soda lazima mkojo wote uwe wa utamu tamu!

Lakini nisipokunywa soda wala kitu chenye asili ya sukari hakuna shida mkojo una taste chumvi chumvi hivi

Sasa nimejiuliza ndio nimeshapata kisukari ama laah!

Nimepaniki sana hapa !

Nina imani huku kuna madaktari wa hayo masuala watakuja na majibu au ushauri mzuri
 
Habari ! Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo!
Nimejarib kujifanyia monitoring pale inapotokea nimekunywa chai nikitest mkojo wang kwa kulamba naiskia kabisa sukar...
Hakuna haja ya kulamba , kojoa pahala halafu baada ya muda ukikuta sisimizi ujue umeisha tayari una kisukari Anza dozi
 
Habari ! Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo!
Nimejarib kujifanyia monitoring pale inapotokea nimekunywa chai nikitest mkojo wang kwa kulamba naiskia kabisa sukari kwenye mkojo au ikitokea nimekunywa soda lazma mkojo wote uwe wa utam tam...
Duuh ko ukalamba mkojo kuonja sukari.

Hakuna hospitali maeneo yako ya jirani.
Bado hujapaniki wewe
 
Habari ! Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo!
Nimejarib kujifanyia monitoring pale inapotokea nimekunywa chai nikitest mkojo wang kwa kulamba naiskia kabisa sukari kwenye mkojo au ikitokea nimekunywa soda lazma mkojo wote uwe wa utam tam....
Mzee nenda hospital wakapime Glucose level kweny mkojo na damu, wakikuta ipo juu sana bac itakuwa ni kisukari, specifically high blood sugar level.

We ni mtumiaji wa pombe sana?
 
Habari ! Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo!
Nimejarib kujifanyia monitoring pale inapotokea nimekunywa chai nikitest mkojo wang kwa kulamba naiskia kabisa sukari kwenye mkojo au ikitokea nimekunywa soda lazma mkojo wote uwe wa utam tam...
Duuuu!!
Unalamba mkojo!!
 
Back
Top Bottom