Utamu wa mwanamke ni upi?

Asili ya mwanaume ni kutamani yani hata akioa Malaika then akakatisha shetani wa kike bado atamtamani tu!.
Tunachotofautiana ni uvumilivu na uoga wa magonjwa! Leo hii Ukimwi upatiwe dawa mtazijua tabia zetu vizuri!..
 
Unasemaje kwa wanaobaka kuku?
Asili ya mwanaume ni kutamani yani hata akioa Malaika then akakatisha shetani wa kike bado atamtamani tu!.
Tunachotofautiana ni uvumilivu na uoga wa magonjwa! Leo hii Ukimwi upatiwe dawa mtazijua tabia zetu vizuri!..
 
Ili mwanaume asichepuke awe na fixed bajeti akishakuwa na pesa ziada tu lazima achepuke
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni me/ke

"Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake siku hizi wana hudumia


Maana hata nikiwa na sifa zote hizo bado MTU anachepuka, gari nimemnunulia, anakaa prime area, pocket money nimemwesha yaani hajapungukiwa, but utulivu zero brain kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni hawa uzao wa Adam.. Hata uwape vyote hivyo na ziada ya matundu yote saba... Bado hawatariridhika.... Kumbuka mfalme Suleiman alibarikiwa hekima na utajiri na wake wa ndoa 300 lakini bado akaongeza masuria 3000....

Jr
hii ulisoma wapi mkuru maana naona chai kibao, wake 300, badala ya700, masuria 3000 badala ya300, unamaanisha jumla alikuw na wanawake 3300 wakati alikuwa na 1000 tu!!!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna Suleiman wengi, huenda anamuongelea Suleiman yule mfalme wa kushona viatu Tanzania nzima anashonea pale Maryland Mwenge
 
Hayo ni mapito tu safari ya upendo ..utapata tu mtu wa kuenjoy nae maisha ila usiwe mwepesi kutoa fedhaaaaaa ovyoooo
 
piga chafya povu likutokre ndg, Suleiman alioa wanawake 700, masuria 300. jumla 1000

Sent using Jamii Forums mobile app
Je umeelewa post Yangu?

 
Pole sana...

Tatizo Moyo...
Utamu wa mwanamke haupo specific, kusema labda awe hivi ndiyo anakua mtamu wallah...

Moyo ukimkubali utamuona mzuri na mtamu, moyo ukimkataa utamuona wa kawaida sana...

Achana na kupeana vitu, kua na yule ambae mtakaoridhiana na kupendana...


Cc: mahondaw
 
Utamu wa mwanamke amini usiamini ni pale siku unapokuwa unamvua chu****p kwa mara ya kwanza na kuona mzigo hapo yaani baasiiii hamna raha au tamu unaweza kujisikia zaidi ya hiyo
 
Huwezi kuwa na sifa zote hizo sasa ukikosa mojawapo ya hizo ndo anachepuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa karne hii sidhani kama kuna chako mwenyewe watu wamependa kushare na wenzao. Utamu upo pale mpo wawili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi kuchepuka nisuala la kimaumbile
So tuelewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…